pole sana mkuu hatuna madeni kwa Boinge na CS 300 zinakuja mwezi ujao tena 2Madeni yalishalipwa au bado?
Ni vyema kuisimamia ndoto yako mpaka itiieNdoto za kimweli hizo
Kama tunapata marais wenye Utashi wa kutaka kuitoa Tanzania hapa tulipo kama JPM, tunaweza kuwafikia na kuwazidi kenya. Kwanza ATC inatakiwa ianze kutamba hapa nyumbani na kwasasa tayari msuliwao unaonekana kama huamin waulize Fast Jet na Precition watakujibu.
Inachotakiwa waongeze juhudi apa ndani wakiweza kufika mikoa mingi zaidi ndio waongeze njia nje ya Tanzania najua kwasasa ATC wanakwenda Burundi na Commoro najua wanavuta kasi.
Ndani ya Mwezi wa 11 Boieng 787-8 mali ya Tanzania itaanza kwenda India na China, Si Lazima kuipeleka USA, muhimu tunaangalia wapi tutafanya biashara. Hakuna Air Tanzania inayoenda Kenya wala Fastjet haendi Kenya nafikiri sababu unazijua.
Ndege saba za KQ, kwenye hiyo route ya New York, U.S! Kitaeleweka tu jombaa. KQ wanahitaji hongera nyingi, yaani ni haki yao.Seven Kq dreamliners will be operating the route.View attachment 914733
Ndege saba za KQ, kwenye hiyo route ya New York, U.S! Kitaeleweka tu jombaa. KQ wanahitaji hongera nyingi, yaani ni haki yao.
Tupo Serious mkuu ila kuna taratibu zinakamilishwa then mambo yataanza kuwa sawa! Usafiri wa anga una mambo mengi.Kq inapeleka ndege saba NYC-NBO kwa sasa, Bila kusahau inafika Europe na India na bado imevuma hapa Africa. Mnafaa kuwa serious.
Yepp. Only in SlumberlandIATA ratings sasa ni around 64% from 34% with new terminal at JNIA plus undergoing improvements in KIA, AAKIA plus Mwanza and Songwe n soon Dodoma, next rating itapanda to over 74% nathani sisi tutapata flight permission even faster than Kenya! Jamaa wamechukua miaka 20 na ushee kupewa permission. Kwa wajuzi wa mambo hawawezi kubeza kinachoendelea TCAA na TAA plus ununuzi wa dreamliners. In next 2-3 years we will be celebrating the same.
Maneno yako ni ya kishabik tu, huaminiki hata kidogo. Wewe hapo tu ndiye uliyeapa kwamba KQ haitatua Marekani karne hii, na ukasema wakiweza hutoingia tena Jamiiforums. [emoji40][emoji40][emoji40]IATA ratings sasa ni around 64% from 34% with new terminal at JNIA plus undergoing improvements in KIA, AAKIA plus Mwanza and Songwe n soon Dodoma, next rating itapanda to over 74% nathani sisi tutapata flight permission even faster than Kenya! Jamaa wamechukua miaka 20 na ushee kupewa permission. Kwa wajuzi wa mambo hawawezi kubeza kinachoendelea TCAA na TAA plus ununuzi wa dreamliners. In next 2-3 years we will be celebrating the same.
Kwasasa Kenya kwenye Ndege wametuzid, wao wapo kwenye gemu muda mrefu japo uwa kunakipindi wanatangaza kupata hasara ila shirika lao linaendelea vizur. Sisi shirika la Ndege likitangaza hasara baadhi ya watu kwenye mitandao wanafikir ndio kiboko cha kuichapa serikali. Kwasasa Kenya wanatambua Tanzania chini ya JPM inawafuata kwa kasi katika maeneo mengi waliyo tuzid.Shirika letu la Ndege litafanya vizuri ni swala la muda tu.
Sisi itachukua chini ya miaka mitatu na si ishirini kama nyie zile dreamliners zifike 6 kwanza.Maneno yako ni ya kishabik tu, huaminiki hata kidogo. Wewe hapo tu ndiye uliyeapa kwamba KQ haitatua Marekani karne hii, na ukasema wakiweza hutoingia tena Jamiiforums. [emoji40][emoji40][emoji40]
Current air traffic in Nbo.IATA ratings sasa ni around 64% from 34% with new terminal at JNIA plus undergoing improvements in KIA, AAKIA plus Mwanza and Songwe n soon Dodoma, next rating itapanda to over 74% nathani sisi tutapata flight permission even faster than Kenya! Jamaa wamechukua miaka 20 na ushee kupewa permission. Kwa wajuzi wa mambo hawawezi kubeza kinachoendelea TCAA na TAA plus ununuzi wa dreamliners. In next 2-3 years we will be celebrating the same.
Naiona ATC ikifika Nairobi, Mombasa, Addis,Accra n.k lakini Ndege ni Biashara kubwa na kabla ya kwenda mbali lazima uji imarishe ndani. Kama ATC wakiweza kufika Mikoa mingi ya ndani itawajenga kama shirika. Ukiacha watalii ambao kwahivi karibun naona wameongezeka sana lakini Watanzania wanaopanda Ndege wameongezeka pia, Kinacho fuatia ATC wafanye Reserch maeneogani ya Nchi yatawapafaida kama shirika ili hizo ndege mpya zikija waongeze Safari za ndani baadae taratibu waongeze safari za nje.Mnafaa kufika Nairobi na Mombasa ama Addis Ababa ndio mpate umaarufu. Jkia pekee inaingiza 8.5Million passengers kwa mwaka. Tz 2million. Mnafaa kuanza na hub kubwa kubwa hapa EAC ndio muweze kukua haraka.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] NBO is out of your league. Muache kujipa Matumaini. Mulianza this year na mnataka kushindana na 254! Mtapata tabu.Current air traffic in Nbo.View attachment 914754View attachment 914755View attachment 914756
Naiona ATC ikifika Nairobi, Mombasa, Addis,Accra n.k lakini Ndege ni Biashara kubwa na kabla ya kwenda mbali lazima uji imarishe ndani. Kama ATC wakiweza kufika Mikoa mingi ya ndani itawajenga kama shirika. Ukiacha watalii ambao kwahivi karibun naona wameongezeka sana lakini Watanzania wanaopanda Ndege wameongezeka pia, Kinacho fuatia ATC wafanye Reserch maeneogani ya Nchi yatawapafaida kama shirika ili hizo ndege mpya zikija waongeze Safari za ndani baadae taratibu waongeze safari za nje.
Hauwezi kuimarisha Safari za nje wakati Ndani kubovu. Nivizur mtu akiwa Dallas Amerika , London, Berin German anataka kwenda kuona Hifadhi ya Sokwe Kigoma iwe anaingia Online ana Book ticket ATC . Msafiri atachukuliwa huko na ATC ambayo itakua ime imarika ndani ya nchi, analetwa Tanzania akifika ana Connect Safari na ATC kwenda Ruaha Iringa au Kigoma. Iyo ndio National aircraft carier.
Tupo Serious mkuu ila kuna taratibu zinakamilishwa then mambo yataanza kuwa sawa! Usafiri wa anga una mambo mengi.