Kenya wameweza, sisi lini?

Kenya wameweza, sisi lini?

Seven Kq dreamliners will be operating the route.
Screenshot_20181029-070049.jpeg
 
Mnafaa kufika Nairobi na Mombasa ama Addis Ababa ndio mpate umaarufu. Jkia pekee inaingiza 8.5Million passengers kwa mwaka. Tz 2million. Mnafaa kuanza na hub kubwa kubwa hapa EAC ndio muweze kukua haraka.
Kama tunapata marais wenye Utashi wa kutaka kuitoa Tanzania hapa tulipo kama JPM, tunaweza kuwafikia na kuwazidi kenya. Kwanza ATC inatakiwa ianze kutamba hapa nyumbani na kwasasa tayari msuliwao unaonekana kama huamin waulize Fast Jet na Precition watakujibu.

Inachotakiwa waongeze juhudi apa ndani wakiweza kufika mikoa mingi zaidi ndio waongeze njia nje ya Tanzania najua kwasasa ATC wanakwenda Burundi na Commoro najua wanavuta kasi.
 
Kq inapeleka ndege saba NYC-NBO kwa sasa, Bila kusahau inafika Europe na India na bado imevuma hapa Africa. Mnafaa kuwa serious.
Ndani ya Mwezi wa 11 Boieng 787-8 mali ya Tanzania itaanza kwenda India na China, Si Lazima kuipeleka USA, muhimu tunaangalia wapi tutafanya biashara. Hakuna Air Tanzania inayoenda Kenya wala Fastjet haendi Kenya nafikiri sababu unazijua.
 
IATA ratings sasa ni around 64% from 34% with new terminal at JNIA plus undergoing improvements in KIA, AAKIA plus Mwanza and Songwe n soon Dodoma, next rating itapanda to over 74% nathani sisi tutapata flight permission even faster than Kenya! Jamaa wamechukua miaka 20 na ushee kupewa permission. Kwa wajuzi wa mambo hawawezi kubeza kinachoendelea TCAA na TAA plus ununuzi wa dreamliners. In next 2-3 years we will be celebrating the same.
 
[emoji122][emoji122][emoji122] Haters make kenya famous. Walisema it is a loss making airline, now see where they are! Wako chini tuko juu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndege saba za KQ, kwenye hiyo route ya New York, U.S! Kitaeleweka tu jombaa. KQ wanahitaji hongera nyingi, yaani ni haki yao.
 
Kq inapeleka ndege saba NYC-NBO kwa sasa, Bila kusahau inafika Europe na India na bado imevuma hapa Africa. Mnafaa kuwa serious.
Tupo Serious mkuu ila kuna taratibu zinakamilishwa then mambo yataanza kuwa sawa! Usafiri wa anga una mambo mengi.
 
IATA ratings sasa ni around 64% from 34% with new terminal at JNIA plus undergoing improvements in KIA, AAKIA plus Mwanza and Songwe n soon Dodoma, next rating itapanda to over 74% nathani sisi tutapata flight permission even faster than Kenya! Jamaa wamechukua miaka 20 na ushee kupewa permission. Kwa wajuzi wa mambo hawawezi kubeza kinachoendelea TCAA na TAA plus ununuzi wa dreamliners. In next 2-3 years we will be celebrating the same.
Yepp. Only in Slumberland
 
Maneno yako ni ya kishabik tu, huaminiki hata kidogo. Wewe hapo tu ndiye uliyeapa kwamba KQ haitatua Marekani karne hii, na ukasema wakiweza hutoingia tena Jamiiforums. [emoji40][emoji40][emoji40]
 
Kwasasa Kenya kwenye Ndege wametuzid, wao wapo kwenye gemu muda mrefu japo uwa kunakipindi wanatangaza kupata hasara ila shirika lao linaendelea vizur. Sisi shirika la Ndege likitangaza hasara baadhi ya watu kwenye mitandao wanafikir ndio kiboko cha kuichapa serikali. Kwasasa Kenya wanatambua Tanzania chini ya JPM inawafuata kwa kasi katika maeneo mengi waliyo tuzid.Shirika letu la Ndege litafanya vizuri ni swala la muda tu.

Sio vibaya kuwa na ndoto; isipokuwa si kila ndoto huwa inatimia. And the definition of insanity is doing the same things while expecting different results. Management na staffing iliyopo sasa hivi ya ATCL haiwezi kuliendesha shirika likapata faida. Ukijumlisha na kuingiliwa kimaamuzi na serikali ndio basi tena. Mtu sahihi hawezi kufanya kazi katika setup iliyopo kwenye public sector sasa hivi kwa muda mrefu bila kuwa depressed.
 
Maneno yako ni ya kishabik tu, huaminiki hata kidogo. Wewe hapo tu ndiye uliyeapa kwamba KQ haitatua Marekani karne hii, na ukasema wakiweza hutoingia tena Jamiiforums. [emoji40][emoji40][emoji40]
Sisi itachukua chini ya miaka mitatu na si ishirini kama nyie zile dreamliners zifike 6 kwanza.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] NBO is out of your league. Muache kujipa Matumaini. Mulianza this year na mnataka kushindana na 254! Mtapata tabu.
IATA ratings sasa ni around 64% from 34% with new terminal at JNIA plus undergoing improvements in KIA, AAKIA plus Mwanza and Songwe n soon Dodoma, next rating itapanda to over 74% nathani sisi tutapata flight permission even faster than Kenya! Jamaa wamechukua miaka 20 na ushee kupewa permission. Kwa wajuzi wa mambo hawawezi kubeza kinachoendelea TCAA na TAA plus ununuzi wa dreamliners. In next 2-3 years we will be celebrating the same.
Current air traffic in Nbo.
2018-10-29_09.13.11.jpeg
2018-10-29_09.11.53.jpeg
Screenshot_20181029-091010.jpeg
 
Mnafaa kufika Nairobi na Mombasa ama Addis Ababa ndio mpate umaarufu. Jkia pekee inaingiza 8.5Million passengers kwa mwaka. Tz 2million. Mnafaa kuanza na hub kubwa kubwa hapa EAC ndio muweze kukua haraka.
Naiona ATC ikifika Nairobi, Mombasa, Addis,Accra n.k lakini Ndege ni Biashara kubwa na kabla ya kwenda mbali lazima uji imarishe ndani. Kama ATC wakiweza kufika Mikoa mingi ya ndani itawajenga kama shirika. Ukiacha watalii ambao kwahivi karibun naona wameongezeka sana lakini Watanzania wanaopanda Ndege wameongezeka pia, Kinacho fuatia ATC wafanye Reserch maeneogani ya Nchi yatawapafaida kama shirika ili hizo ndege mpya zikija waongeze Safari za ndani baadae taratibu waongeze safari za nje.

Hauwezi kuimarisha Safari za nje wakati Ndani kubovu. Nivizur mtu akiwa Dallas Amerika , London, Berin German anataka kwenda kuona Hifadhi ya Sokwe Kigoma iwe anaingia Online ana Book ticket ATC . Msafiri atachukuliwa huko na ATC ambayo itakua ime imarika ndani ya nchi, analetwa Tanzania akifika ana Connect Safari na ATC kwenda Ruaha Iringa au Kigoma. Iyo ndio National aircraft carrier.
 
Watalii wameongezeka si kwa kigezo cha kuwa na ndege watalii wameongezeka kutokana na promo imekuwa mzuri
Naiona ATC ikifika Nairobi, Mombasa, Addis,Accra n.k lakini Ndege ni Biashara kubwa na kabla ya kwenda mbali lazima uji imarishe ndani. Kama ATC wakiweza kufika Mikoa mingi ya ndani itawajenga kama shirika. Ukiacha watalii ambao kwahivi karibun naona wameongezeka sana lakini Watanzania wanaopanda Ndege wameongezeka pia, Kinacho fuatia ATC wafanye Reserch maeneogani ya Nchi yatawapafaida kama shirika ili hizo ndege mpya zikija waongeze Safari za ndani baadae taratibu waongeze safari za nje.

Hauwezi kuimarisha Safari za nje wakati Ndani kubovu. Nivizur mtu akiwa Dallas Amerika , London, Berin German anataka kwenda kuona Hifadhi ya Sokwe Kigoma iwe anaingia Online ana Book ticket ATC . Msafiri atachukuliwa huko na ATC ambayo itakua ime imarika ndani ya nchi, analetwa Tanzania akifika ana Connect Safari na ATC kwenda Ruaha Iringa au Kigoma. Iyo ndio National aircraft carier.
 
Mnafaa kutangaza brand yenyu dunia mzima kama airlines zingine. Hii mambo ya kujitawala haitawasaidia. Badala ya kusafiri hadi Kigali, fikeni Hub kubwa kubwa kama NBO,Mombasa au Addis. Kq inafika Miji yote kenya na hapa EAC including dar. That is the 1st step to prosperity. Hamuwezi kimbilia Mumbai yet your impact is zero in the region.

Back
Top Bottom