pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Kwahivyo JNIA ilijengwa miaka mitatu iliyopita na ATCL ni shirika la juzi juzi tu? Mmmh, jombaa acha kuvutia bange chooni.Sisi itachukua chini ya miaka mitatu na si ishirini kama nyie zile dreamliners zifike 6 kwanza.
Duh! Mlishapitwa zamani. Huna habari?Pichani rais Uhuru wa Kenya akishuhudia safari ya kwanza ya ndege yao kuubwa ya Kenya Air ways ikianza safari za moja kwa moja kwenda Marekani.nauliza tu sisi mbona kimya sana?au dege la kwetu haliwezi kufika Marekani?nashauri tusikubali kupitwa na Kenya.View attachment 914668View attachment 914669
Umekula bangi imeoza?Sisi tulianza mapema maana dege letu lilianzia safari huko State kuja Bongo. Hamkumbuki?
Aaaah Boieng 787-8 hiyo itaenda rout za mbali sana kama unavyoona hiyo KQ haileti Hiyo 787-8 Tanzania.Mnafaa kutangaza brand yenyu dunia mzima kama airlines zingine. Hii mambo ya kujitawala haitawasaidia. Badala ya kusafiri hadi Kigali, fikeni Hub kubwa kubwa kama NBO,Mombasa au Addis. Kq inafika Miji yote kenya na hapa EAC including dar. That is the 1st step to prosperity. Hamuwezi kimbilia Mumbai yet your impact is zero in the region.
I agree with you for this.Mnafaa kutangaza brand yenyu dunia mzima kama airlines zingine. Hii mambo ya kujitawala haitawasaidia. Badala ya kusafiri hadi Kigali, fikeni Hub kubwa kubwa kama NBO,Mombasa au Addis. Kq inafika Miji yote kenya na hapa EAC including dar. That is the 1st step to prosperity. Hamuwezi kimbilia Mumbai yet your impact is zero in the region.
Mimi sija kataa,Watalii wameongezeka kwa Promo ila ukumbuke watu wenye hulka / Tabia ya kupenda kutalii pia huwa wana ambizana wapi kuna vivutio vingi.Watalii wameongezeka si kwa kigezo cha kuwa na ndege watalii wameongezeka kutokana na promo imekuwa mzuri
ngeli ni zile zile za maumivu! pambaneni na route za dala dala bila kusumbua! atcl ligi yake ni modern coast.Sisi itachukua chini ya miaka mitatu na si ishirini kama nyie zile dreamliners zifike 6 kwanza.
Mimi sija kataa,Watalii wameongezeka kwa Promo ila ukumbuke watu wenye hulka / Tabia ya kupenda kutalii pia huwa wana ambizana wapi kuna vivutio vingi.
Sisi Ndio tunao fuatia ukiacha Brazil inayo Ongoza Duniani kwa vivutio vingi. Brazili wajitahidi kwa kuimarisha miundombinu kwenye vivutio sisi kuna baadhi ya majira katika mwaka ningumu kufurahia utalii hali ya barabara na mvua zinakwamisha. Watalii wana ambizana kua Tanzania kuna vivutio vizuri na Ni salama na tulivu tofauti na uharifu mwingi uliopo Brazili dhidi ya wagen.
Ni kweli. Wewe umekula ambayo ikoje?Umekula bangi imeoza?
Najua uwelewa wako ni Mdogo ila sio Tatizo, Uwezi kukimbilia kwenda Marekani wakati bado aujawa Stable apa Ndani. Ao KQ na ET wameimarika katika Usafirishaji kwa njia ya Anga ktika Nchizao. Baadae Tupambane kuwa Hub katika eneo Letu la East nd Central Africa. Shirika la ATC liki imarika Tuanze kwenda uko Ameriaka na Ulaya ndivyo wenzetu walivyo anza. Na kikubwa kitakacho tupeleka uko ni wingi wa Abiria /watalii na biashara na si Siasa.Tunazungumzia hapa issue ya ndege yetu kuogopa kwenda marekani
Najua uwelewa wako ni Mdogo ila sio Tatizo, Uwezi kukimbilia kwenda Marekani wakati bado aujawa Stable apa Ndani. Ao KQ na ET wameimarika katika Usafirishaji kwa njia ya Anga ktika Nchizao. Baadae Tupambane kuwa Hub katika eneo Letu la East nd Central Africa. Shirika la ATC liki imarika Tuanze kwenda uko Ameriaka na Ulaya ndivyo wenzetu walivyo anza. Na kikubwa kitakacho tupeleka uko ni wingi wa Abiria /watalii na biashara na si Siasa.
Ukimaliza kuota uamke uoshe usoIATA ratings sasa ni around 64% from 34% with new terminal at JNIA plus undergoing improvements in KIA, AAKIA plus Mwanza and Songwe n soon Dodoma, next rating itapanda to over 74% nathani sisi tutapata flight permission even faster than Kenya! Jamaa wamechukua miaka 20 na ushee kupewa permission. Kwa wajuzi wa mambo hawawezi kubeza kinachoendelea TCAA na TAA plus ununuzi wa dreamliners. In next 2-3 years we will be celebrating the same.
hiyo inafahamika, sio ishu ya kubishana, Mwaka jana wamefanya retrenchment karib unusu wa wafanyakazi wao, kwa sababu ya hasara. WWkabadili mpaka Mtendaji mkuu, coz of loss...Kama wao wanakula hasara basi nyinyi ndio mtatabika madeni kabisa
Yangu freshi tu. Nyie hamna ndege inayokwenda U.S.A. Punguzaa stimu nduguNi kweli. Wewe umekula ambayo ikoje?
hiyo inafahamika, sio ishu ya kubishana, Mwaka jana wamefanya retrenchment karib unusu wa wafanyakazi wao, kwa sababu ya hasara. WWkabadili mpaka Mtendaji mkuu, coz of loss...