Kenya wameweza, sisi lini?

Kenya wameweza, sisi lini?

Mnafaa kutangaza brand yenyu dunia mzima kama airlines zingine. Hii mambo ya kujitawala haitawasaidia. Badala ya kusafiri hadi Kigali, fikeni Hub kubwa kubwa kama NBO,Mombasa au Addis. Kq inafika Miji yote kenya na hapa EAC including dar. That is the 1st step to prosperity. Hamuwezi kimbilia Mumbai yet your impact is zero in the region.
Aaaah Boieng 787-8 hiyo itaenda rout za mbali sana kama unavyoona hiyo KQ haileti Hiyo 787-8 Tanzania.
Kwa upande wa safari za Africa tutapeleka mpaka Dakar, Accra etc hata Ethiopia ila kwa ndege ambazo tutapokea mwezi ujao aina ya Bombadier CS300(JET) sio hizi Q400. Kwaiyo tutarajie kutuona angani soon.
 
Mnafaa kutangaza brand yenyu dunia mzima kama airlines zingine. Hii mambo ya kujitawala haitawasaidia. Badala ya kusafiri hadi Kigali, fikeni Hub kubwa kubwa kama NBO,Mombasa au Addis. Kq inafika Miji yote kenya na hapa EAC including dar. That is the 1st step to prosperity. Hamuwezi kimbilia Mumbai yet your impact is zero in the region.
I agree with you for this.
 
Watanzania leo wanaisifia Kenya kupeleka ndege U.S.A lakini ndege yetu ikianza rout za mbali utasikia wanalalamika ooohh hakuna faida ya kununua ndege, hakikuwa kipaumbele chetu mara ooohh hakuna wateja unafiki kibao watz umetujaa.
 
Watalii wameongezeka si kwa kigezo cha kuwa na ndege watalii wameongezeka kutokana na promo imekuwa mzuri
Mimi sija kataa,Watalii wameongezeka kwa Promo ila ukumbuke watu wenye hulka / Tabia ya kupenda kutalii pia huwa wana ambizana wapi kuna vivutio vingi.

Sisi Ndio tunao fuatia ukiacha Brazil inayo Ongoza Duniani kwa vivutio vingi. Brazili wajitahidi kwa kuimarisha miundombinu kwenye vivutio sisi kuna baadhi ya majira katika mwaka ningumu kufurahia utalii hali ya barabara na mvua zinakwamisha. Watalii wana ambizana kua Tanzania kuna vivutio vizuri na Ni salama na tulivu tofauti na uharifu mwingi uliopo Brazili dhidi ya wagen.
 
Tunazungumzia hapa issue ya ndege yetu kuogopa kwenda marekani

Najua uwelewa wako ni Mdogo ila sio Tatizo, Uwezi kukimbilia kwenda Marekani wakati bado aujawa Stable apa Ndani. Ao KQ na ET wameimarika katika Usafirishaji kwa njia ya Anga ktika Nchizao. Baadae Tupambane kuwa Hub katika eneo Letu la East nd Central Africa. Shirika la ATC liki imarika Tuanze kwenda uko Ameriaka na Ulaya ndivyo wenzetu walivyo anza. Na kikubwa kitakacho tupeleka uko ni wingi wa Abiria /watalii na biashara na si Siasa.
 
Sasa unachokataa kitu gani?Kenya wameshatuwacha mbali sana sisi tibakie na majungu tu
Najua uwelewa wako ni Mdogo ila sio Tatizo, Uwezi kukimbilia kwenda Marekani wakati bado aujawa Stable apa Ndani. Ao KQ na ET wameimarika katika Usafirishaji kwa njia ya Anga ktika Nchizao. Baadae Tupambane kuwa Hub katika eneo Letu la East nd Central Africa. Shirika la ATC liki imarika Tuanze kwenda uko Ameriaka na Ulaya ndivyo wenzetu walivyo anza. Na kikubwa kitakacho tupeleka uko ni wingi wa Abiria /watalii na biashara na si Siasa.
 
IATA ratings sasa ni around 64% from 34% with new terminal at JNIA plus undergoing improvements in KIA, AAKIA plus Mwanza and Songwe n soon Dodoma, next rating itapanda to over 74% nathani sisi tutapata flight permission even faster than Kenya! Jamaa wamechukua miaka 20 na ushee kupewa permission. Kwa wajuzi wa mambo hawawezi kubeza kinachoendelea TCAA na TAA plus ununuzi wa dreamliners. In next 2-3 years we will be celebrating the same.
Ukimaliza kuota uamke uoshe uso
 
Kama wao wanakula hasara basi nyinyi ndio mtatabika madeni kabisa
hiyo inafahamika, sio ishu ya kubishana, Mwaka jana wamefanya retrenchment karib unusu wa wafanyakazi wao, kwa sababu ya hasara. WWkabadili mpaka Mtendaji mkuu, coz of loss...
 
Sisi ni wa hapa hapa tu kwani changamoto za kuendesha biashara ya ndege siyo mchezo mchezo kama mnavyo tuaminisha

Back
Top Bottom