Kenya wameweza, sisi lini?

Nyinyi mara ohh mta tuta. Kq already imekuwa ikisafiri kwa miaka mingi to Ethiopia,UG,Dar,S.A, Lagos,Cairo,Kigali,Accra...etc. hizi ni African destinations. NYC-NBO pekee iko na Boieng 787-8 saba operating the route. Alafu mnataka kujilinganisha na Kq[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii yenyu ni uchawi.
 
Hao wakenya unaowapigia debe leo KLM akigoma hizo ndege zinasimama sijui unalijua hilo? hapa nchini kuna wahindi wengi sana nikuambie basi na wafanya biashara pia na wanaendesha viwanda kwa sehemu kubwa tu. pole kwani tuende Malekani kufanya nini?
Sasa tunajiuliza Ethiopia wana Ndege nyingi na wananchi wanakufa njaa tena shirika lao linachuana na kina EMIRATES,KLM etc sisi tunawezaje kujivuna kupata tija na vindege vyetu vitatu au hata vinne?
 
Mkuu toka tumeanza mimi nawewe katika maongezi yetu sijailinganisha KQ na ATCL ila tu tukija hapo siwezi kuilamua KQ ila nitawashushia lawama viongozi wa Tanzania walio pita ambao walichangia kwa kiasi kikubwa kuliua shirika la ndege letu! bila Magufuli leo hii ata Bujumbura tusingekuwa tunajulikana katika nishani za usafiri wa anga.
Magufuli ameifanya ATCL sasa kuanza kujulikana, Kenya mumeanza muda ila nawapongeza ila Tanzania tuko nyuma yenu tunakuja, Sie ndege zetu hatuna mbia na mtu ila Kenya nyuma yenu mukumbuke kuna KLM na lazima mapato mugawane sie mapato hatugawani na mtu ni wamiliki wa ndege zetu.
 
Sasa tunajiuliza Ethiopia wana Ndege nyingi na wananchi wanakufa njaa tena shirika lao linachuana na kina EMIRATES,KLM etc sisi tunawezaje kujivuna kupata tija na vindege vyetu vitatu au hata vinne?
Mkuu hivi unafikiri USA hakuna wenye njaa? wapo sana tu, India hapo sasahivi wanatoa mpaka mikopo kwa nchi za Africa tena mikopo ya Matrillion hivi India wananchi sio maskini?
 

Kumfananisha Mkenya na Mtanzania ' Kimaendeleo ' na hata ' Kiupeo ' bila kusahau ' Uthubutu ' uliotukuka ni sawa sawa leo hii utake Kumfananisha Mchezaji Luiz Suarez wa FC Barcelona ya nchini Hispania na Mchezaji Simon Msuva wa Difaa El Jadid FC ya nchini Morocco. Nadhani nitakuwa nimeeleweka vyema tu hapa.

Shikamooni Wakenya!
 
Ubarikiwe sana
 
Hao wakenya unaowapigia debe leo KLM akigoma hizo ndege zinasimama sijui unalijua hilo? hapa nchini kuna wahindi wengi sana nikuambie basi na wafanya biashara pia na wanaendesha viwanda kwa sehemu kubwa tu. pole kwani tuende Malekani kufanya nini?
KLM wanhold only 7.8% ya Kq,government of Kenya 48.9% na kenyan banks 38.1%, go figure
 
KENYA INAKWENDA MAGHARIBI NA TANZANIA INATARAJIA KWENDA MASHARIKI-hakuna matata
 
Tuanze na hiyo ya "kwa sasa ya nyekundu..." Ni lini Tanzania iliwahi kuwazidi Kenya kwa ndege?

Kisha tuje hapo kwenye blue, ni maeneo gani kwa mfano (with data) ambayo Tanzania chini ya Magufuli inawafuata Kenya kwa kasi kwa yale maeneo ambayo walituzidi?
 
tuta,tuki, [emoji23] [emoji23]
 
Fast jet wamefanyaje? Hivi ule upuuzi wa kuwazuia kipindi flan kwamba wacancel baadhi ya safari zao unaukumbuka? Hivyo ndivyo ushindani unavokuwa? mnatia aibu aiseee
 
India kuna nini tena wakati tunatibiwa hapa mloganzira?


Ha ha ha haha Mloga-nzira... ha ha ha umenifurahisha haswa.......... na ukizingatia siku hizi dala dala mpk pale geitini... Commoro huko kuna nini mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…