Kenya wanaanza kutuelewa sasa

Tatizo la wakenya ni kuigaiga mambo ya waitaliano, Spain, England.... hawawezi kusimama wao kama wao....ndio maana hata chaguzi zao ni mauwaji tupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hawa maboya wanamwambia nani yani kama vile wa naomba ruksa kwa mabepari yani kunyaland mnajipeleka sana kwa wazungu mtaolewa mwaka huu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakenya niliwaona kuwa kifkra bado ni watumwa kwa mzungu kwenye matukio mawili ya dawa zinazodhaniwa kutibu corona.
Dawa ya Madagascar japo bado kuna mitazamo kinzani kuhusu uthabiti wake kutibu huu ugonjwa ila Kenya hawakuwahi hata kuagiza chupa mbili wajiridhishe kuhusu uthabiti wake ila wazungu walivo tangaza uwezekano wa Remdesivir na Chloroquine kutibu corona haraka sana wakenya wakaagiza kuanza kuzifanyia majaribio. Inaweza kuonekana kawaida ila ukijipa muda kutafakari unagundua hawa majirani kifkra bado ni watumwa
 
Kenyans are mental and economic slaves.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]naona kwenye huu uzi wanapita tu hawajui wataambia nini watu.
 
Sio watumwa tu, ni sellouts hawa, sio wa kuwaamini kwenye masuala ya mtangamano wa waafrika, watawauza hivi hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio watumwa tu, ni sellouts hawa, sio wa kuwaamini kwenye masuala ya mtangamano wa waafrika, watawauza hivi hivi
Unajuwa, kitambo nilifikiri tabia hiyo ilikuwa ni kwa kizazi cha zamani, wakina Charles Njonjo na Mzee kenyatta, kumbe mpaka wajukuu wako hivyo hivyo.

Hata sisi, tumshukuru Mungu tulikuwa na kiongozi (Nyerere) aliyejaa maono, akaivunja ile nira ya fikra za kitumwa, la sivyo tungekuwa kama nyang'au tuu.
 
Usiwalaumu ukiwa na njaa hata uwezo wa kufikiri unapungua
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Updates:
Trump leo ameagiza makanisa na za ibada zifunguliwe Marekani yote.
Havana atakayekaidi ata override mamlaka yake.

Kama Marekani wamechukua hatua hii basi Ni vyema dunia ijue na itambue sisi Tanzania tulishaliona hili mapema na waje wajifunze kwetu namna ya kuishi nalo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…