Kenya wanafanya propaganda chafu kwenye msiba wa Rais Magufuli

Kenya wanafanya propaganda chafu kwenye msiba wa Rais Magufuli

They're a a confused gullible bunch. These are the same idiots that believed there was no coronavirus in tanzania because they prayed. It's really mind boggling how they never question whatever their govt tells them.

I sense some sort of Stockholm syndrome condition in them... Same case even to their learned lot.
 
Sio Kenya tu, jana nimeangalia SABC, Aljazeera kote wanaongelea negativities tu. Aljazeera walisema alikuwa ni rais wa "uzinduzi tu" na aliwaaminisha wananchi kuwa "they can pray away the virus"

Mimi siwalaumu hawa watu kwakuwa haya mambo labda alijitakia wenyewe.

Jinsi alivyokuwa ana approach mambo ya msingi katika zama hizi za science na uwazi ni bora hata Homo Sapiens wa enzi za Paleolithic.



 
Hao wadharauni. Yao yamewashinda. Yetu watayaweza? Kwanza angalau wangepambana wakapata uhuru wa bendera kama wetu wakaachana na ukabila na unyang'au. Wakenya–––kama ni ugonjwa–––sisi tuna homa wakati wao wana ukimwi kisiasa. Angalia ukabila. ulivyowatafuna bila kusahau ubinafsi, uchoyo na uroho. Kenya ni wa kupuuzia. Kama ningekuwa rais, siku moja ningewatishia japo nyau.
 
Naona mleta mada ulishakaririshwa unafiki,uzandiki na uongo na Mwendazake. Marehemu hakuwa na jema lolote kwa nchi hii,ukiona kuna jema ujue alilifanya kwa faida zake binafsi. Kuzimu kunamuhusu huyu muuaji.
1616116416232.png
 
Nimeangalia KTN News usiku wa leo, kweli Kenya wanafanya coverage kubwa sana kwenye msiba wa Rais Magufuli usiku kucha.
Wamebase kwenye negative tu za Rais Magufuli kiasi hakuna jema kabisa.

Kwanza wanaaminisha dunia kuwa Magufuli hajafariki kwa ugonjwa wa moyo ila ni Covid-19. Kwa station kubwa namna hii kuuaminisha dunia kuwa kafariki kwa Corona na sio Moyo kama ilivyoripotiwa na Makamu wa Rais sio jambo la kiungwana kabisa tena kwa media kubwa kama KTN.

Mahojiano yao yame-base kwa wale wakosoaji wa serekali tu na sijaona wenye +ve kuhusu serekali. Wanarudia tu speech za Magufuli ambazo zilikua na utata kama vile ng'ombe wa Kenya waliokamatwa Tanzania, mimba kwa watoto wa kike, upinzani na siasa, matumizi ya njia za uzazi wa mpango, idadi ya viongozi waliofariki kwa kuhisiwa corona.

Ikiangalia unaweza kudhani aliyefariki ni Rais wa Kenya na sio wa Tanzania maana coverage ni kubwa Kenya kuliko Tanzania. Kwa Kenya imekua kama vile furaha kwao maana wamepenyeza sana propaganda zao sana.
"Mficha maradhi kilio kitamfichua" Nyerere.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
MAJI MAJI REBELLION SEASON 2 executed perfectly.

Maji maji season 1 waliambiwa ukijipaka maji risasi za mzungu hazitakuingia. Jamaa kaingia vita na maji kama bulletproof vest. Watu wakauliwa kama nzige

Season 2. Corona ndio hiyo 2020. Wakaambiwa piga nyungu ya limau na ndimu hutapatwa na corona. Ndiye huyo rais jehanamu.

What a time to be alive.

IGNORANCE IS EXPENSIVEView attachment 1728629
Ignorance is real. What you was taught abt majimaji rebellion was not all abt that war, ni moja ya vita kubwa duniani, 3 kingdoms of southern Tz, vi wilaya kadhaa kusini Tz, against a strong united Germany, wajerumani wengi waliuliwa waliporwa silaha etc, it's a war that lasted for five years, hiyo technique ambayo huenda ilitumiwa na battalion moja, de one you guys were taught, could not last that long, some teachings are scripted and you get to be taught a narration that will alter your psych, make you feel smart, strong etc or make you feel ignorant and worthless. Wacha niishie hapa. Ukifanikiwa ukafika dsm, nenda national museum, accessible to anyone, you'll learn more and a lot, abt majimaji resistance
 
Ni kweli hata mimi nimeshindwa kuendelea kutazama.Maana interview nzima wanazungumza ubaya mtupu. Kwanza wao wanasema direct 100% kuwa Magufuli amekufa kwa Covid-19. Kitu ambacho ni kinyume na taarifa iliyotolewa na mama Samia. Ukiwaangalia hata usoni unaona jinsi wanavyochekelea kifo cha Rais wetu
Kwani waliosema mwamba anachapa kazi walikuwa ni watu tofauti?
 
Ujuha ni zaidi ya ujinga, najaribu kuwaza hapa eti nitafute sijui ITV (zingine hata sizikumbuki) ya kwenu ili kufahamishwa kinachoendelea Nairobi hapa, halafu nianze kulalamika nikiona hawatoi taarifa nitakavyo mimi....hehehehe.
Lakini pia msilaumu media maana wenyewe mlichanganya Watanzania, mara mnawaambia rais anachapa kazi ni mzima ni kwamba tu yuko busy sana ndio maana hajitokezi, mara sijui ametuma salamu...yaani halafu leo mnalaumu vyombo vya habari.
Stupid guy...an idiot...bila Shaka JF nayo ni ya Kenya...an animal...
 
Stupid guy...an idiot...bila Shaka JF nayo ni ya Kenya...an animal...
Ukweli hampendi kamwe, propaganda imegandisha akili zenu, ukweli hauwezi kuingia![emoji23][emoji23][emoji23]., Yani MK254 kaeleza vizuri yale mliofanya na kuna evidence, wewe unakuja na matusi, ungepinga kama sio ukweli ama ufyate., sio lazima ujibu hoja.[emoji23][emoji23]
 
Soon mama etu akikaa sawa,, ata wapa majibu ya kuzuia mahindi yetu,, tuta wapiga zaidi ya jana,,
 
Watanzania acheni ujuha, yaani mumekaa mnafuatilia media za Kenya, ina maana za kwenu zipo kimya au nini sababu za kuhangaika utumie media za majirani zako kufuatilia yanayoendelea ndani ya nchi yako, unless kama wewe ni Mtanzania unayeishi Kenya, haingii aikilini.
Huu ni muda wa kutafakari wapi mlitegukia, nini cha kurekebisha.
Waambie mkuu.
 
Sasa kwani vyombo vya habari vya Tanzania vimekatazwa kufanya coverage kubwa ya kifo cha magu?...wafanye tu na wahoji watu wanaohisi watakuwa na maoni positive kwa magu!..sasa unataka kuzipangia media za kenya vitu vya kutangaza?acha utoto!!
 
1.Stiggler's project itakamilika
2. Sgr project itakamilika
3. E.t.c.

MNAOKESHA KUOMBA MABAYA HAMTAKAA MFANIKIWE KUYAONA YANATIMIA.
TANZANIA MBELE KWA MBELE AFE KIPA AFE BEKI CHUMA KISHASHIKA MOTO.
Wakenya wamezoea sana kuitumia Tanzania . Kipindi hiki cha jiwe walifyata sana kazi ualimu ziliota mbawa , umeneja mahotelini mbawa, u ceo kwenye masharika mbawa, ununuzi wa Tanzanite ki holela mbawa nk nk. Hawa jamaa hawawezi kumpenda Chuma hata kidogo. RIP Chuma. Asante sana kwà kutukomeshea nyangaus . Mama Samia endeleza mfumo huo huo mpaka nyangaus waone rangi zote . Shenzi type
 
Wakenya wamezoea sana kuitumia Tanzania . Kipindi hiki cha jiwe walifyata sana kazi ualimu ziliota mbawa , umeneja mahotelini mbawa, u ceo kwenye masharika mbawa, ununuzi wa Tanzanite ki holela mbawa nk nk. Hawa jamaa hawawezi kumpenda Chuma hata kidogo. RIP Chuma. Asante sana kwà kutukomeshea nyangaus . Mama Samia endeleza mfumo huo huo mpaka nyangaus waone rangi zote . Shenzi type
kwa kifupi mama inatakiwa apige spana mwanzo mwisho mara 10 zaid ya jiwe.Asiwachekee hovyo.
 
Hili nilitegemea kabisa! Wanazan wataanza kupata fursa za kuja tz kupora kama walivokuwa wanapora zamani huko mererani n.k. ambacho hawajui ni kwamba magufuli keshaweka msingi ambao viongozi wengine wanafata. Magufuli alishatoa watu matongo tongo na ujinga uliokuwa umetifunika na kamwe hatutakuja kaibiwa kijinga na wakenya kama zamani. Niwakumhushe tu.majirani wanaofurahia kifo cha magufuli kwamba ule ukuta uliojengwa eneo la mererani hautavunjwa kwa sababu magufuli hayupo. Utaendelea kuwepo na sasa hivi tutakaza zaidi. Tena mnaamsha hasira za viongozi wetu.kwa jinsi mnavyofurahia hiki kifo. Maana ni heri mngekuwa wapole tungewasemehe. Wakenya wengi ni machizi wala miraaa akili zao zinamilikiwa ulaya walichobaki nacho ni kutamba tu for nothing! Et nch tajiri ila wao wanaishi kwenye mapango. Uchumi mkubwa ila umeshikiliwa na wachache wao. Ziro brain
Endelea kupiga spana mkuu..
 
Back
Top Bottom