Kenya wanafanya propaganda chafu kwenye msiba wa Rais Magufuli

kwa kifupi mama inatakiwa apige spana mwanzo mwisho mara 10 zaid ya jiwe.Asiwachekee hovyo.
lakini mama yuko smart sana kichwani, haendeshwi na mihemko. haropoki ovyo ovyo na kutoa kauli chafu chafu kama aliyemtangulia wala kukurupuka out of nowhere. naweza sema yuko humble sana and in that caae..... lazma tumzibiti kwa kila namna, upende/ ukatae.
hongera Mama Samia. sote tuko nyuma yako
 
CCM is incharge of Tanzania.. Chama tawala. Every corrupt CCM central coimmitee was purged. Magufuli policy continues, sorry the country is nt under your homosexual friend lissu
 
Kawafungue media zao kama mlivyozoea hapo kwenu
Lakini pia kuna sheria yo yote inayowataka waanike mazuri yake?
Hayo uliyoyaainisha hapo juu kuna ambalo Magu hajafanya?
Mstake media za nje ziwe kama zenu nyeupe nyeupe nyeusi nyeusi
We vp nenda uwanjani na huko chato ukaonyeshe unafiki wako
 
Im wondering too, this people are a special breed, wanachukia facts and ukweli
 
Thank you for indirectly admitting that kenyans are hardworkers and go getters
 
Sasa kwani vyombo vya habari vya Tanzania vimekatazwa kufanya coverage kubwa ya kifo cha magu?...wafanye tu na wahoji watu wanaohisi watakuwa na maoni positive kwa magu!..sasa unataka kuzipangia media za kenya vitu vya kutangaza?acha utoto!!
 

Attachments

  • VID-20210321-WA0072.mp4
    5.3 MB
See this mazafaka
 
kwa kifupi mama inatakiwa apige spana mwanzo mwisho mara 10 zaid ya jiwe.Asiwachekee hovyo.
Wee nyangau tuliza mshono hivi unadhani tunaogopa . Yaani Mama hata akikaza hata Mara 20 we don't care so long as the so called sleeping Giant is running now. Nawaombea na wasomalia wawashinde ICJ ili tuwatawale kisawa sawa
 
Thank you for indirectly admitting that kenyans are hardworkers and go getters
Admitting what you poor nyangau ? Nyangau is always nyangau. You are not hard worker rather we assisted you in shouldering some of your unemployment burdens . However instead of being grateful you decided to backbite us by voting against us not to sell elephànt tusks, campaigning against building tarmac road via serengeti, maliciously flocking thousands of Kenyan cattles into Ngorongoro, continuing advertising Mt. Kilimanjaro belongs to Kenya , stealing Tanzania's Tanzanite and other menace against Tanzania . Our dear President Jembe aka Chuma aka Jiwe aka bulldozer aka Jemedari decided to return a favour ......no working permit for foreigner unless no tanzanian can fill the post in question. Now you have resoluted to desiperate measure prohibiting maize entry into Kenya . Nyangau wait and see we will reciprocate that .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…