Kenya: Wanafunzi na walimu waambukizwa Corona, shule zafungwa, idadi ya maambukizi kwa siku ni zaidi ya 1000

Kenya: Wanafunzi na walimu waambukizwa Corona, shule zafungwa, idadi ya maambukizi kwa siku ni zaidi ya 1000



MY TAKE: Wakati dunia imekiri kwamba Tanzania ni miongoni mwa nchi sita duniani ambazo ni "Corona Free countries", jirani ambaye alitusema na Kutuombe kila lililobaya litufike watanzania, hadi kumuita Magufuli ni mkaida na Kinjekitile, sasa maji kwao yamewazidi kiwango, wanatapatapa hawajui la kufanya.

Majivuni yao yanawatokea puani.
 
Waanzishe ile campaign yao ya ukaidi wa Magufuli na walipe bloggers kumtukana Magufuli huenda ikapunguza maambukizi
 
Ina maana wakenya wameanza kudondoka kwa korona kiasi hii?
Wakenya hawana kitu wanachoweza, Tribalism, Corruption, crime, Corona, hunger, terrorism, police brutality, vyote vimewashinda, hovyo sana hawa jamaa. Kuishi Kenya ni "Life threartening Decision", ninashangaa watanzania wanaoishi Kenya

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom