Umeona eehwanashughulikiwa kimya kimya
Hili "watetezi" wa kukandamiza uhuru wa vyombo vya habari mnasemaje?
Yaani ni kaaazi kweli kweliuhuru wa habari sio kinga kuwa mtu akiambiwa na sheria kuwa asifanye hiki yeye anaenda kufanya kisa ana haki kwa kutumia uhuru wa habari, kama kuna uhuru wa habari basi wanahabari wetu wawe wanalazimisha kwenda ikulu kujua kinachoendelea kila siku wakizuiwa wawajibu wanajeshi kuwa haki ya kupata habari (uhuru wa habari si ndio au sio) watu waliambiwa wasiende huko ni illegal wanalazimishwa kwenda wakijua kabisa ni illegal sasa wafanyweje si kukamatwa tu au.