Kenya wanakinukisha soon, ni suala la muda tu

Holly Star

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2018
Posts
4,327
Reaction score
8,142
Kwa ninayoyaona kwenye majukwaa ya siasa za majirani zetu kenya, mungiki wanarudi muda wowote. Jamaa wanamtukana Rais kama mtoto.
 
Raila na uhuru wameamua nchi isitawalike kabisa na watamvuruga Ruto hadi basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…