Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,142
Kwa ninayoyaona kwenye majukwaa ya siasa za majirani zetu kenya, mungiki wanarudi muda wowote. Jamaa wanamtukana Rais kama mtoto.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu wa huku mbona daily anateua? Unaweza sema ndio anaunza Serikali,Kwa ninayoyaona kwenye majukwaa ya siasa za majirani zetu kenya, mungiki wanarudi muda wowote. Jamaa wanamtukana rais kama mtoto
Endeleeni kukumbatia katiba ya mkoloni muendelee kulamba viatu vya mzee mgaya.Matunda ya Katiba Mpya hayo hakuna kuonekana wala kuogopana!
Umeshawasili Arusha? 🤣Endeleeni kukumbatia katiba ya mkoloni muendelee kulamba viatu vya mzee mgaya.
Iringa hapa Pawaga.Umeshawasili Arusha? 🤣
Huendi kumpokea Mwenyekiti?!?Iringa hapa Pawaga.
Njoo miami hapa tujadiliHuendi kumpokea Mwenyekiti?!?
Hahaha.......!Njoo miami hapa tujadili
Miami ya moa gani mkuuHahaha.......!
......
Nyinyi ndio bado mna katiba ya mkoloni. Yetu tumeitengeneza 2010 wenyewe.Endeleeni kukumbatia katiba ya mkoloni muendelee kulamba viatu vya mzee mgaya.