Kenya wanampambania Nduta asinyongwe Vietnam Vs TZ tupambanie Janabi ashinde WHO Africa

connections

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
2,842
Reaction score
3,922
1. Kama Taifa twende na Professor Mkuu Janabi (PhD) ili ashinde huko WHO Africa (baada ya Dr Ndugulile kufariki dunia) Diplomasia yetu ikue.

2. Tujifunze kwa majirani wao wamempambania Odinga Africa Union na sasa Nduta asile kitanzi huko Vietnam.
 
Bila maelezo zaidi uliyoandika ni umbea na maneno ya vijiweni; Kama Africa ni channel ya comedy, ina maana Mimi nikienda kazini ni sehemu ya comedy?
Watu humu Wana stress sana
 
Janabi kushinda sio rahisi kwasababu yale mambo ya uhusiano wake na yaliyo mpata Jiwe yamesambaa Dunia nzima!! Mtapoteza hela zenu bure ; hiyo nafasi atapewa mtu anaezungumza kifaransa!
 
DRC wanamuhonga marekani trump ili aje kuwapiga Warwanda...

Africa !! 😞😞😞
 
1. Kama Taifa twende na Professor Mkuu Janabi (PhD) ili ashinde huko WHO Africa (baada ya Dr Ndugulile kufariki dunia) Diplomasia yetu ikue.

2. Tujifunze kwa majirani wao wamempambania Odinga Africa Union na sasa Nduta asile kitanzi huko Vietnam.
Prof Janabi (PhD)
 
Tuna mambo mengi ya kuhangaikia kama wananchi, ie..haki, utekwaji na mengineyo! huyo janabi ajipambanie yeye na wale wenye kunufaika na hiyo fursa atakapoipata.
 
Reactions: bne
1. Kama Taifa twende na Professor Mkuu Janabi (PhD) ili ashinde huko WHO Africa (baada ya Dr Ndugulile kufariki dunia) Diplomasia yetu ikue.

2. Tujifunze kwa majirani wao wamempambania Odinga Africa Union na sasa Nduta asile kitanzi huko Vietnam.
hivi ww n mjukuu wa janabi au
 
1. Kama Taifa twende na Professor Mkuu Janabi (PhD) ili ashinde huko WHO Africa (baada ya Dr Ndugulile kufariki dunia) Diplomasia yetu ikue.

2. Tujifunze kwa majirani wao wamempambania Odinga Africa Union na sasa Nduta asile kitanzi huko Vietnam.
Siwezi poteza mda!
 
Janabi kushinda sio rahisi kwasababu yale mambo ya uhusiano wake na yaliyo mpata Jiwe yamesambaa Dunia nzima!! Mtapoteza hela zenu bure ; hiyo nafasi atapewa mtu anaezungumza kifaransa!
Je, bado unaamini ulichokiandika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…