KENYA: Wanandoa wafariki katika ajali wakienda kula Krismasi

KENYA: Wanandoa wafariki katika ajali wakienda kula Krismasi

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Wanandoa hao wamefariki alfajiri ya leo walikuwa safarini kuelekea huko Busia kwa ajili ya sherehe za mwisho wa mwaka (Krismasi na Mwaka Mpya).

Watu watu Watano wakiwemo wrote wamejeruhiwa vibaya katika ajali hiyo iliyotokea katika Daraja la Mwiwondwe lililopo barabara ya Ekero kuelekea Buyangu.

Miili ya waliofariki imehifadhiwa katika Hospitali ya Mtakatifu Maria wa Mumias. Idara ya Polisi imetoa tahadhari kwa watu wanatumia vyombo vya moto kuendesha magari kwa uangalifu

=======

A man and his wife are among five people killed on Tuesday morning following an accident at Mwiwondwe bridge on the Ekero-Buyangu road.

Five other people, including children, were seriously injured during the accident that occurred when a vehicle they were travelling in rolled on the bridge.

The ten were on their way to Busia for the festive season.

Speaking to Citizen Digital, area police boss Peter Kattam warned motorists to observe traffic rules during this period.

Bodies of the deceased have since been transferred to the St. Marys Mumias Hospital mortuary.
 
Kila nafsi itaonja umauti,wapumzike kwa Amani Marehemu wote.
 
Back
Top Bottom