Lee Swagger
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 1,063
- 1,815
- Thread starter
- #21
Wasije Wakaja Tanzania wakajutia kama Dangote.Bongo Dangote wanamwenyesha sembuse hao, ss saizi yetu vyerehani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasije Wakaja Tanzania wakajutia kama Dangote.Bongo Dangote wanamwenyesha sembuse hao, ss saizi yetu vyerehani
Ni kweli Mkuu.... Usipokua na wivu wa maendeleo utabaki hapo hapo ulipoooJirani yako akinunua gari mpongeze kuna siku atakupa akili ya jinsi alivyofanikiwa.... Roho nyeusi, chuki na hasira kwa mafanikio ya jirani yako haitazuia maendeleo yake na pia inakupunguzia siku za kuishi.
Nahisi pia Dangote pia anafikiria na Anawazaa sanaa juu ya Kiwanda chakee.Tumeruhusu ujinga uliokithiri nchini Mkuu, Nani anataka kuja kuwekeza katika nchi inayotukuza ujinga?
Soon atasepa, ht wakimbembeleza atakibakiza kishingo upande ili siku wananchi wakisahau kipoteeNahisi pia Dangote pia anafikiria na Anawazaa sanaa juu ya Kiwanda chakee.
Hivi kuna nini kwenye umemeNani aje kuinvest kwenye nchi inayoongozwa na jiwe? Washamstukia huyu kwenye jumuiya ya kimataifa. Na umeme wenyewe wa manati ni hasara tupu.
Hivi kuna nini kwenye umeme
Unashindwa kuwasha hata kiwanda changu cha fridge nakula hasara tu.
UzinduziHapo kwetu
Ni mauaji
Maandamano
Wasiojulikana
Jiwe la msingi kwenye kisima cha maji
TRA Wafunga maduka.....
N.k.
Au anasubiri Arudishe hela kidogooo kwanzaaaSoon atasepa, ht wakimbembeleza atakibakiza kishingo upande ili siku wananchi wakisahau kipotee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huku cherehani zinatosha kuwa viwanda
Nabii Tito alisifiwa lakini, sema mwishowe akaishia Segerea....Nabii hasifiwi nyumbani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji33] [emoji33] [emoji33]Nabii Tito alisifiwa lakini, sema mwishowe akaishia Segerea....
Zimenunuliwa ndege za Bombadier kulingana na viwanja vyetu, kelele za kejeli zimekuwa nyingi humu jamvini.Naona Mambo sio mabaya Kenya.. Taarifa nyingine ni za Mwaka jana Lakini ni maendeo Mazurii Sanaa...
Je Tanzania tumelala...????View attachment 737425View attachment 737426View attachment 737427View attachment 737428View attachment 737430View attachment 737431View attachment 737432
Jirani mwenye wivu na roho ya kutu kwa maendeleo ya mwenzake, we endelea kula ugali tu na kuroga wenzio basiKazi iliyobaki ufipa ni hiyo tu....[emoji324]
Hiya = hiyoKwa iyo mnataka kila kitu kifanyike Tz tu?
Hao wawekezaj wameona kwa hiya biashara yao Kenya itakua mahari sahih. Full stop
Wengin wakiona Tz ni mahar sahih kwa biashara yao watakuja