Kenya wanapata madili mengi sana ya kimaendeleo

Jirani yako akinunua gari mpongeze kuna siku atakupa akili ya jinsi alivyofanikiwa.... Roho nyeusi, chuki na hasira kwa mafanikio ya jirani yako haitazuia maendeleo yake na pia inakupunguzia siku za kuishi.
Ni kweli Mkuu.... Usipokua na wivu wa maendeleo utabaki hapo hapo ulipooo
 
Tumeruhusu ujinga uliokithiri nchini Mkuu, Nani anataka kuja kuwekeza katika nchi inayotukuza ujinga?
Nahisi pia Dangote pia anafikiria na Anawazaa sanaa juu ya Kiwanda chakee.
 
Pole sana. Umeme umeingiliwa na wanasiasa ambao wanadhani wao wanajua zaidi kuhusu umeme kuliko Wataalam husika matokeo yake tumekuwa na umeme uchwara.

Hivi kuna nini kwenye umeme
Unashindwa kuwasha hata kiwanda changu cha fridge nakula hasara tu.
 
Zimenunuliwa ndege za Bombadier kulingana na viwanja vyetu, kelele za kejeli zimekuwa nyingi humu jamvini.

Miundo mbinu inajengwa mipya na iliyopo inaboreshwa, kelele za kejeli kama kawaida.

Najiuliza tu kwa sauti, Je, ndio aina ya viwanda tunavyovihitaji Tanzania wakati hata vya kuongeza thamani ya mazao yetu hatuna?
 
Kwa iyo mnataka kila kitu kifanyike Tz tu?
Hao wawekezaj wameona kwa hiya biashara yao Kenya itakua mahari sahih. Full stop
Wengin wakiona Tz ni mahar sahih kwa biashara yao watakuja
Hiya = hiyo

Mahari = Mahali

Mahari hutolewa kumpa mwanamke unayekusudia kumuoa.

Hivi Acacia kile kishika uchumba walichoahidi walishalipa?
 
Tanzania is full of corrupt leaders# I hate my country. nchi yenye kila kitu tunaxidiwa nakanchi kadogo kama kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…