Kenya wanatuzidi, Rwanda wanatuzidi

The purpose ya kuenda shule sio kuajiriwa Bali unaweza tumia that knowledge kujipa ajira wewe mwenyewe...unaweza Rudi vijijini na kutumia hio elimu yako shambani!
A wise man once said if u think Education is expensive try ignorance.Yaani this people are way too ignorance you just pity them.Ona vile wanabishana tu
 

Inclusive in poverty.
Meaningless charts when 99% of the population is poor af.
 
Below $1 a day.
The new international poverty line is $1.90 a day. Of which 99% of Tanzanians fall below.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] unajitia kidole kisha unanusa unacheka.

kwamba imepanda tokea lini??? tukitaka hivyo wakenya ni 99.99% wako na mchapo.
 
The purpose ya kuenda shule sio kuajiriwa Bali unaweza tumia that knowledge kujipa ajira wewe mwenyewe...unaweza Rudi vijijini na kutumia hio elimu yako shambani!

Kwani ajira pekee inayoongelewa ni kuajiriwa pekee?
 
Mafao ya wazee waliostaafu Magufuli amewalipa?

Ndiyo alilipwa. Nina ushahidi pia. Baba mkwe wangu alilipwa na mpaka alimpa kiasi fulani cha fedha mtoto wake, ambaye ni mke wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…