Kenya wanavyoionea Somalia na kuinyonya kama Wakoloni

Kenya wanavyoionea Somalia na kuinyonya kama Wakoloni

Trully a pain jn your back side and Dollars in your pockets, and knowledge in your small brains.

Hawa wasomali wamemiamsha kutoka kwenye usingizi mrefu, mlikuwa mnagongwa na wahindi, leo mfanyibiashara wa kirinyongaga, lodwar, United Kisumu (UK), wote wanakuja kwa msomali East leigh anakopeshwa mali anaenda kuuza na anarudi, wamemionyesha kuwa mtu mweusi anaweza shindana na muhindi, mwarabu na mzungu katika kila anga ya biashara, iwe ujenzi au mahoteli.
Nitajie makampuni ya Wasomali yaliyopo kwenye NSE? Kwa vile naona umekomalia

Taja makampuni ya Wasomali yaliyopo kwenye NSE? Hayo umekomalia yamekuza uchumi wetu.
Na hamna mahali kama Kirinyoganga Kenya!
 
Yeah, they love blaming other kwa shida zao. They are so hopless mpaka they love demeaning others. Guess ndio wafeel good about themselves
Somalis are very succeful..any town / city with an "east something" is filled with somalis eastleigh/east london etc..They are all over the world including at USA congress and Britain parliament
 
I was countering the dude who said waliingia 1991. But ata kama it was annexed, it belongs to Kenya now
North Eastern Province (Kenya)

Read in another language

Watch this page

Edit

The North Eastern Province (Somali: Gobolka Woqooyi Bari) is one of the former provincesin Kenya. It has a land area of 127,358.5 km2, with its capital at Garissa. Previously known as the Northern Frontier District (NFD), the territory was carved out of the Jubalandregion of present-day southern Somaliaduring the colonial period.[1] It is and has historically been exclusively inhabited by ethnic Somalis.[2][3]

Nitajie makampuni ya Wasomali yaliyopo kwenye NSE? Kwa vile naona umekomalia

Taja makampuni ya Wasomali yaliyopo kwenye NSE? Hayo umekomalia yamekuza uchumi wetu.
Na hamna mahali kama Kirinyoganga Kenya!
They dont list their companies at NSE .Their companies are family owned and their banks are "community banks"
 
They are not Somali Bantus, Somali Bantus huwa few, si wengi ata, wako southern Somalia. The ones in Kenya are mostly Ogadenis as I understand, na ni Cushites
But are super racist. I even saw one refusing to shake hands with a lecturer at UON during a graduation ceremony. I some times imagine that, what if we were the ones exiled in Somalia?
 
Mbona wakati somalia had a strong goverment kama ya ki a Siad Barre, kenya hauikujaribu kudai hiyo bahari, na hali map ilikuwa ni hii tuu, lakini leo somalia kukosa jeshi na jeshi ya kenya kuingia somalia kupora, ndio serekLi ya kenya imeamua kujaribu kubadilsha mipaka.

Huo sio ujirani mwema, bali ni unyanganyi na unyangau

You're just a fool who has no facts.
Somalia imeanza huu ujinga around 2014, yet from 1979 ilikuwa imetambua kwamba border inaenda parallel to the latitude.
Juzi ndio mmefahamu kwamba kunaweza kuwa na mafuta huko.

Enda ukajifahamishe na mwanzo wa hii saga.

Which allies would come to the aid of kenya? Kenya has no record of supporting other african countries in independence struggle..Kenya has exhausted its financial ties with china, british and USA will work together to secure somalis oil blocks..
Russia has no history with kenya and they no longer give a fck about africa

Ati China, Britain and USA will work to secure Somali's oil blocks. 😂😂😂😂
You're naivety truly have no bounds.
 
North Eastern was annexed to kenya in 1964. Go read your history well.
North Eastern has been Kenya since then. Infact Somalia is having a huge part of our territory of NFD as we speak.
220px-Africa_1909_16a.jpeg
 
Ati China, Britain and USA will work to secure Somali's oil blocks. 😂😂😂😂
You're naivety truly have no bounds.
I said britain and usa always work together..and ofcourse they will work to secure british companies rights to extract oil on those blocks..
As for china, they are usualy not intrested in wars and kenya has already pissed them off financialy
 
Ati China, Britain and USA will work to secure Somali's oil blocks. 😂😂😂😂
You're naivety truly have no bounds.
This guy is truly naive, feeding his stupidity with fantasy stories..
Imagine US, UK navies sailing all the way to come attack KE on some oil field conflict with Somali???

Hata kama ni chuki dhidi ya Ke, huu ni ushenzi
 
North Eastern Province (Kenya)

Read in another language

Watch this page

Edit

The North Eastern Province (Somali: Gobolka Woqooyi Bari) is one of the former provincesin Kenya. It has a land area of 127,358.5 km2, with its capital at Garissa. Previously known as the Northern Frontier District (NFD), the territory was carved out of the Jubalandregion of present-day southern Somaliaduring the colonial period.[1] It is and has historically been exclusively inhabited by ethnic Somalis.[2][3]

Yeah, si thats my point and those somalis have Kenyan ID, pia eastern province nothern side is mostly Oromos na Somalis, the province next to that one
 
There are maasais in KZ and TZ, Luos and Luhyas in UG, Oromos in KE and Ethiopia..
how comes only somalis claim NFD was stolen from them???

Why are Masais in TZ not claiming Narok or Kajiado in KE?
Actually ni vice versa, why arent Masais in Tanzania illegal?
 
This guy is truly naive, feeding his stupidity with fantasy stories..
Imagine US, UK navies sailing all the way to come attack KE on some oil field conflict with Somali???

Hata kama ni chuki dhidi ya Ke, huu ni ushenzi
The Royal navy + us navy sailed all the way to the gulf to protect kuwait from sadam's land grabbing
 
Ethiopia na Kenya tunahanaika na hizi mangombe na Kuna watanzania wako nyuma yao! Tanzania mnawajua Hawa magaidi kweli?
Hapana. Tanzania hawajui hizo mang'ombe ya Somalia. Wanayajua mang'ombe ya kule baharini Zenj tu. Hao ndio wanayapiga piga sana hadi wanasema, heri wangeungana na Kenya kuliko Tangznyika
 
Back
Top Bottom