Kenya: Wanawake waandamana wakidai kukosa wanaume wa kuwapa ujauzito

chinchilla coat

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2016
Posts
5,107
Reaction score
10,969
Wanawake katika jimbo la Ndeiya nchini Kenya walifahamisha kuwa waume zao wanashindwa kuwapa ujauzito kutokana na mwenendo wa unywaji wa pombe haramu ambazo zinaathiri nguvu za kiume.



Katika maandamano ya amani yaliofanyika katika kituo cha biashara cha Thigio, wanawake walioandamana Akhamisi walifahamisha kukerwa na wanaume wanaojihusisha na ulevi kupita kiasi.

Nancy Wangare alifahamisha kuwa katika kijiji hicho wanawake wachache walioolewa wamevumilia kwa kiasi kikubwa kutokana na upungufu wa nguvu za kiume kwa waume zao kutokana na pombe wanazokunywa.

Mmoja miongoni mwa wanawake walikuwa wakiandamana alifahamisha kuwa iwapo tabia hiyo ya ulevi haitorekebishwa basi itawalazimu kutoka nje ya ndoa zao na bila wao kujua lolote na kuwahudumia watoto wasiokuwa wao
 
mkuu una namba ya huyo wa kati hapo!!
 
Hatari hii. Nguruwe pita sina mkuki mie.
 
yalaaaah
 
Mi nimeguswa sana kumsaidia huyo wa katikati tupieni basi na namba zake ili nijue namna ya kumsaidia hilo tatizo lake
 
Hapa kuna shida waja huku TZ lakini sio Rombo watapata service safiii
 
Nimesikitika na kuguswa na mwenye sketi ya njano na Gumboots. Mwenye kujua namna ya kuweza kumpatia usaidizi pls.
 
hahahahahahahaha
wanawake wa kenye kila siku wana tukio jipya
 
Mkuu unaweza nipatia namba ya mmoja wapo coz nimechoka kupiga nyeto
 
Kenyan tenaaa???hiv wakenya mnashida gani??? Afu mkijA humu mna midomo mirefu kwel yaan hahaahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…