gwijimimi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2011
- 7,344
- 3,610
Hehehehe wake tu tuwape Ze duduzYaani wao kuchepuka mpaka waombe! Wenzao huku tunalea mitoto ya watu kitaambo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehehehe wake tu tuwape Ze duduzYaani wao kuchepuka mpaka waombe! Wenzao huku tunalea mitoto ya watu kitaambo.
Huyo ndio General Galadudu, kwa wake za watu hujamboMi nimeguswa sana kumsaidia huyo wa katikati tupieni basi na namba zake ili nijue namna ya kumsaidia hilo tatizo lake
Mkuu panapohitajika kutoa msaada basi saidia bila kuhoji hoji maswali mengiHuyo ndio General Galadudu, kwa wake za watu hujambo
Ama kwel ukistaajabu ya Mussa utaona ya Firauni. Yaani mabinti wazuri wanatafuta wanaume na jinsi walivyo waaminifu wanaomba kuchepuka!Wanawake katika jimbo la Ndeiya nchini Kenya walifahamisha kuwa waume zao wanashindwa kuwapa ujauzito kutokana na mwenendo wa unywaji wa pombe haramu ambazo zinaathiri nguvu za kiume.
![]()
Katika maandamano ya amani yaliofanyika katika kituo cha biashara cha Thigio, wanawake walioandamana Akhamisi walifahamisha kukerwa na wanaume wanaojihusisha na ulevi kupita kiasi.
Nancy Wangare alifahamisha kuwa katika kijiji hicho wanawake wachache walioolewa wamevumilia kwa kiasi kikubwa kutokana na upungufu wa nguvu za kiume kwa waume zao kutokana na pombe wanazokunywa.
Mmoja miongoni mwa wanawake walikuwa wakiandamana alifahamisha kuwa iwapo tabia hiyo ya ulevi haitorekebishwa basi itawalazimu kutoka nje ya ndoa zao na bila wao kujua lolote na kuwahudumia watoto wasiokuwa wao