Kenya: Wanawake waandamana wakidai kukosa wanaume wa kuwapa ujauzito

Kwamoyo safi usio na kinyongo Mimi kama Mimi najitolea kuwa saidia.
 
Daaiiiiii Nalita tu........nakumbuka Rombo sijui wamejirekebisha.....
 
Daaiiiiii Napita tu........nakumbuka Rombo sijui wamejirekebisha.....
 
Wakenya kwa vituko namba moja. Juzi kati hawa wamama walikuwa wakiwapiga waume zao. Waume wakaona isiwe tabu ngoja tunywe ili tuchelewe kurudi. Sasa mnataka nini tena [emoji562]
 
Ama kwel ukistaajabu ya Mussa utaona ya Firauni. Yaani mabinti wazuri wanatafuta wanaume na jinsi walivyo waaminifu wanaomba kuchepuka!
 



Hii picha haikuwa ya taarifa hii, ilikuwa ya wanawake demostrating juu ya mavazi yao sio mambo na uja uzito, hii ni ile walikuwa wanaandamana wakisema "my dress my choice"
 
Ngoja nihamie Kenya nikakuze Mahusiano ya EAC.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…