Kenya: Wanawake wawili wafariki baada ya mkanyagano wakati wa kupokea chakula cha msaada

Kenya: Wanawake wawili wafariki baada ya mkanyagano wakati wa kupokea chakula cha msaada

The Sheriff

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2019
Posts
747
Reaction score
2,112
Kibra.jpeg

Wanawake wakiwa katika msururu wa kupokea chakula

Wanawake wawili wamefariki huko Kibra siku ya Ijumaa katika zoezi la kuwania chakula kilichokuwa kikigawiwa katika eneo hilo.

Inaripotiwa kuwa wanawake hao wenye umri wa miaka ya 30 hivi, walikufa kwa kukosa hewa baada ya kujikuta kwenye mkanyagano.

Afisa wa polisi wa Kibra Andrew Musaisi alisema wanawake hao walikufa masaa machache baada ya kuondoka katika eneo ambapo mgao wa chakula kilichochangwa na wasamaria wema ulikuwa ukifanyika.

Inasemekana wawili hao walipata majeraha ya ndani na walikufa wakati wakikimbizwa hospitalini kwa matibabu.

Watu kadhaa pia walijeruhiwa katika tukio hilo.

======

Two women died in Kibra on Friday after an intense struggle to acquire foodstuffs that were being donated in the area.

It is reported that the women in their mid 30s died as a result of suffocation after they were caught in the stampede.

Kibra police boss Andrew Musaisi said the women died a few hours after leaving the distribution center.

It is reported that they sustained internal injuries and died while being rushed to hospital for medical care.

Several people were also injured in the melee.

Good Samaritans had given donations of foodstuffs through the office of the deputy commissioner.

This was to cushion vulnerable families against hunger following stringent measures effected by the government in the fight against the Covid-19 pandemic.

Most Kenyans have been urged to work from home and there is a daily curfew from 7pm to 5am which has reportedly reduced opportunities for work for those living in slums.

In an investigative feature aired on Citizen TV last week, one woman revealed how she would leave her home in Kibra at 6am in search of laundry work.

However, she would return in the evening with no money or food as most people remained confined in their houses.

The spread of coronavirus has greatly disrupted the lives of such women who live in Nairobi’s informal settlements.

On Friday, questions were abound over the manner in which the food distribution was carried out with no guidelines for social distance.

Chanzo: Citizen Tv
 
Ajabu kweli, Tazama hizi ndio hadhi ya nchi za middle Income
South Africa
Egypt
Morocco
Mauritius
Algeria
Angalia maisha kwenye hizo nchi na ulinganishe na Kenya[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Umekosea kuandika itakuwa imetokea TANZANIA hiyo Kenya Nchi yenye uchumi wa kati haiwez kuwa na njaa kiac hicho

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ajabu kweli, Tazama hizi ndio hadhi ya nchi za middle Income
South Africa
Egypt
Morocco
Mauritius
Algeria
Angalia maisha kwenye hizo nchi na ulinganishe na Kenya[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
South Africa inawaua Watanzania.
Egypt inanyanyasa Nchi za Great lakes kupitia mto Nile.
Algeria Nchi ya Waarabu walioandamana kumng'atua Rais Boutefika.

Morocco Nchi ya Waarabu inayoinyanyasa Western Sahara na pia wali-promise Tz watawajengea Uwanja was Mpira...bado plan ziko kuzinduliwa stage.

Mauritius Nchi na kisiwa Cha Wahindi na Waarabu matajiri Kama wale wako Tanzania.

KENYA nchi jirani yake Tanzania, Uganda, S.Sudan, Ethiopia na Somalia. Nchi ya Kenya ni Nghi ya Asali na Maziwa. Waulize ombaomba wa Tanzania ni wapi ukanda huu wanaweza tengeneza hela nyingi Kama Sio Kenya.
 
Katika nchi zoote hizo Kenya pekee ndio inategemea chakula cha msaada, yaani inafika hatua wananchi wanakanyagana na kuuana kisa Ugali.
South Africa inawaua Watanzania.
Egypt inanyanyasa Nchi za Great lakes kupitia mto Nile.
Algeria Nchi ya Waarabu walioandamana kumng'atua Rais Boutefika.
Morocco Nchi ya Waarabu inayoinyanyasa Western Sahara na pia wali-promise Tz watawajengea Uwanja was Mpira...bado plan ziko kuzinduliwa stage.
Mauritius Nchi na kisiwa Cha Wahindi na Waarabu matajiri Kama wale wako Tanzania.
KENYA Nchi jirani yake Tanzania, Uganda, S.Sudan, Ethiopia na Somalia. Nchi ya Kenya ni Nghi ya Asali na Maziwa...waulize omba omba wa Tanzania ni wapi ukanda huu wanaweza tengeneza hela nyingi Kama Sio Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uchuro kwa wakenya........wanachukua hatua stahiki zaidi ya nyie waimba mapambio ya ccm namba 1.....? kenge nyie
 
Back
Top Bottom