Huyo mpumbavu alieiingiza Kenya kwenye kundi la middle income sijui alikua katumia nini? Ni Kenya ndio inaibisha hilo kundi na kusababisha waliopo watoke na wengine wasitake kuingia.
Kenya ni nchi ya hovyo sana, fikiria Rais wao katoa billion 20 za Kenya kuwalipa wakina verasidika wawaburudishe hawa mafukara wa mwisho kabisa ambao unga kwao ni anasa mpaka wapo tayari kukanyagana sababu ya kilo 1 ya unga
Ni jambo la kusikitisha pesa yote hiyo inaliwa na majangili kwa kigezo kwamba zilitolewa ili mburudishwe badala wangewagawia hao mafukara wenye uhitaji.
Namshukuru sana Mungu kunipangia nizaliwe Tanzania na maisha ninayoishi. Thank God! 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💘💗💓