Kenya wanunua BOEING 777 - 300ER

Kenya wanunua BOEING 777 - 300ER

mzanzibara-

Senior Member
Joined
Feb 3, 2014
Posts
179
Reaction score
59
Baada ya kuleta dreamliner Kenya yanunua ndege nyingine ya Boeing 777 - 300er je Tanzania tutaendelea kukodi hadi lini, aibu!!!! A country without a national carrier!
 
Wakenya maskini ndio maana wananunua ndege kkubwa za kupakia watu wengi. Sisi tunanunua kila mtu ndege yake. Tumeanza na mh. rais na tutanunua mpaka kila kijiji kipate helikopta. Halafu sisi tuna mashangingi mengi ( thirsty fuel guzzlers) kuliko wakenya. Wakenya kitu gani ni wakora tu.
 
Ni swala la priorities tu.....

Utafika wakati wa Tanzania kununua ndege. ..Tuwe wavumilivu.
 
Hatutaki kula nyasi kwa mara ya pili..tutatafuta fedha taratibu ikipatikana tutanunua..ikishindikana basi tutakodi..
 
mkuu kawekeza kwenye UDA , subiri mwakani atanunua shea hapo na kwenyewe ataleta midege ya hatari...
 
Unategemea nini kama nchi inaongozwa na viongozi wezi, wanafiki, waongo?. Nchi ngumu sana hii..!!
 
Hahaha, nasubiri dubai ya kigoma kwanza, haya mengine asitimize tu
 
Huo ni ujinga, hivi jirani yako akila kuku leo na wewe pia utataka familia yako ile kuku leo hii hii?
 
tusiige wakenya kila nchi ina mipango yake, na mahitaji yake, na kipato chake, kwa hiyo unataka jk anunue ndege then uanze kulalamika oooh maisha magumu, mara wanafunzi wamekosa mikopo, wafanyakazi wanakatwa kodi kubwa tuacheni kuiga jamani, kuiga kunaumiza unaweza ukajipa mzigo ambao ni mgumu kuutua
 
Daraja la kigamboni bado, airport yenyewe inasuasua, uchumi zero hizo ndege atawakopesha nani japo wenyewe wanadai wanakopesheka na wakakope na ndege
 
Hongera Kenya Airways,ni changamoto kwa Air Tanzania na Serikali yake...
 
Tutanunua tu Diamond platnumz atatununulia ya kuanzia boeing 787
 
Baada ya kuleta dreamliner Kenya yanunua ndege nyingine ya Boeing 777 - 300er je Tanzania tutaendelea kukodi hadi lini, aibu!!!! A country without a national carrier!

Poleni sana wa Bongo
 
Back
Top Bottom