Utuwekee na picha wengine jf ndo chombo cha habari
Ndege ya nini? Si tunaboresha reli ya kati
Baada ya kuleta dreamliner Kenya yanunua ndege nyingine ya Boeing 777 - 300er je Tanzania tutaendelea kukodi hadi lini, aibu!!!! A country without a national carrier!