ELNIN0
JF-Expert Member
- Nov 26, 2009
- 4,161
- 1,476
Kenya wanaheshimiana, hata wanaopewa dhamana kuongoza Wizara wanawajibika na wanaona fahari kulitumikia taifa lao kuliko matumbo.
Hata ukiangalia mikakati yao ya kimaendeleo inaeleweka!! sisi hapa bongo tuna Bandari, Dhahabu, Makaa ya mawe, Almasi na sasa Gesi imemwagika huko Mtwara lakini sishangai tukiendelea kuzungusha bakuli kwa miaka mingi ijayo!!