Kenya wanyakua Medali ya Dhahabu katika Mbio za Mita 800 za Wanaume Olympics

Kenya wanyakua Medali ya Dhahabu katika Mbio za Mita 800 za Wanaume Olympics

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
Emmanuel Wanyonyi (20) ameshinda medali ya dhahabu katika mbio za mita 800 kwenye Olimpiki za Paris Agosti 10, 2024. Inadaiwa ndio Mshindi mwenye umri mdogo zaidi kushinda katika mbio za mita 800 akiwa mwanariadha wa tatu mwenye kasi zaidi duniani.

Wanyonyi alikimbia kwa muda wa 1:41.19 na kutwaa ushindi huo. Na kufanikiwa kumshinda bingwa wa dunia Marco Arop kutoka Canada.

Ushindi wa Emmanuel umeifanya Kenya kushinda mashindano ya mita 800 mara tano mfulumizo Olympics

===============For English Audience====================

Kenya's Emmanuel Wanyonyi held off world champion Marco Arop of Canada to win Olympic men's 800 metres gold in a lightning fast race on Saturday.
Wanyonyi clocked a personal best of 1min 41.19sec for victory, maintaining a proud record for Kenya who have now won the last five Olympic men's 800m titles.

Arop took silver just one-hundredth of a second behind in a North American record

SOURCE: SUPER SPORTS
 
Nilipoona neno Wanyonyi. Nikamkumbuka Mandonga. Kipindi kile kampiga jamaa mmoja Kenya
 
Mkenya Faith Kipyegon ameweka rekodi ya kuwa mtu wa kwanza kushinda medali za dhahabu mara tatu mfululizo katika mbio za mita 1500 za Olympics, pia ndiye mwanamke anayeshikilia rekodi ya kasi zaidi katika mbio hizo.

Screenshot_20240811-220955_X.jpg
 
Mazoezi,nidhamu,serikali kudhamini ,huyu dada miezi nane,sita anafanya mazoezi Ulaya huku Tanzania Rais yupo busy kuwafundisha vijana uchawa
 
Back
Top Bottom