Kenya wapiga marufuku polisi na trafiki kukaa barabara kuu kusumbua waendesha magari kwa kuwasimamisha

Matuta yawekwe kwenye maeneo hatari, sio huo upumbavu wa jamaa kujificha maporini na litochi lake. Ifahamike kuna sehemu inaruhusiwa kwenda kwa kasi, lakini polisi hutumia maeneo kama hayo kujipatia mtaji.
Jomba, matuta ni hatari sana yanaweza kuleta ajali ya kuua, kazi ya polisi ni kuweka usalama siyo kuuwa watu.
 
Kazi ya polisi ni muhimu lakini labda kama unaishi sayari nyingine iwe hufahamu polisi Miafrika walivyo, asilimia kubwa kati yao hawafanyi kazi yao ipasavyo, wao wapo kimaslahi.
Matuta kawaida huwekwa na alama zote za kuashiria yapo, dereva akiwa mtiifu kwa alama za barabarani, haiwezi kuwa tabu kwake.
Usalama barabarani huanza na dereva mwenyewe, na kama sio mtiifu basi maafa lazima yawepo hata ukiwaweka maelfu ya polisi barabarani.
Kuna barabara ambazo inaruhusiwa kusafiri kwa mwendo kasi, kwa mfano hapa Kenya kwenye super highway ya Thika, humo huwa tunaachia hata kwa 110km/h bila usumbufu wa polisi kwa maana pembeni kuna kinga na pia madaraja ya wanaovuka, hivyo unaachiwa libarabara lote ushindwe wewe tu.
 
Utawala wetu huu umewafaidisha majirani zetu,kenya uganda na rwanda
Wafanyabiashara wamekumbilia huko
Viwanda vimehamishiwa huko na sasa hata maroli yanasajiliwa kwa namba zao wakat ni mali za wa Tz
Wacha tuendelee kunyooshwa tu ila tutafika
 
Ngoja tuone...

Kusimamishwa kwa ajili ya ukaguzi siyo tatizo... tatizo ni pale unapocheleweshwa bila sababu zozote za msingi wakati huna tatizo wala kosa lolote...

Unakuta unasimamishwa vizuri, unakaguliwa vizuri, huna tatizo lolote badala akuruhusu anasepa kwenye gari lingine kukagua, ukiondoka huko mbele unasimamishwa na kuambiwa ulikimbia traffic...

Cc: mahondaw
 
Mkuu, hapo ndipo Watanzania tumepumbazwa sana. Trafiki hapaswi kukusimamisha kama hujafanya kosa ili atafute kosa. Trafiki anapaswa kukusimamisha unapofanya kosa, na hapo ndipo anaweza kuangalia kama una makosa mengine. Suala la random checks kwenye high ways ni unyanyasaji na usumbufu kwa raia. Ndio maana kuna utaratibu wa gari kukaguliwa kila mwaka kuona kama linakidhi viwango vya kuwa barabarani. Watanzania tunapaswa kupinga unyanyasasi na usumbufu wa polisi kukusimamisha wakati hakuna kosa ulilofanya.

Hivi unaweza kukubali polisi kuwa wanasimamisha raia randomly ili kujihakikishia kwamba wewe sio jambazi? Ni haki hiyo? Au wawe wanakagua nyumba randomly kuhakikisha huko ndani hakupikwi gongo?
 
Kibaya zaidi, unaweza kusimamishwa hata kwenye zebra cross... wakati ni kosa kisheria gari kusimama katikati ya zebra cross...

Hakuna hata cha maana wanachokukagua...

Cc: mahondaw
 
Ndani ya mwaka,mbinguni pata jaa kwa sababu ya ajali.
 
Ndio zao hizo, kuna afisa mmoja wa NTSA Kenya aling'atwa na nyoka kwenye makalio akiwa amejificha vichakani akivizia magari.
0fgjhsmdnc8tfo12s.f253204e.jpg
Naomba picha zaidi mkuu
 
hii amri ni kisiasa si kitaalam kabisa.

mkumbuke mko kwenye vita na ugaidi,asijewafanya askari wake wakazira kabisa wasifanye kazi hata hapo mjini,mambo yakawa mabaya kabisa.

ukaguzi wa gari si leseni na fire exting pekee,kuna kuhakiki na kilichobebwa ndani ya gari pia.
 
Sitakuangusha jombaa, ndio huyu hapa afisa aliyeng'atwa na nyoka kwenye makalio, na akafa. Ona handaki alilokuwa amejitengenezea, kama la nungunungu kabisaaa! [emoji1] R.I.P afisa Chuck Norris wa kiafrika. 🙂
images
Hahhaa yote hiyo ashakula dhuluma ya madereva !! Malipo ni hapa hapa
 
bima watalipa, itakuwa pia vyanzo vya maligafi za kutengenezea nondo
mkuu ukifa utalipwa ila uhai unaendana na unacholipwa? je ukipata ulemavu bima inaweza kukusaidia kuendesha maisha yako yakila uchwao?
 
We are talking about traffic police on state roads (the high ways), not urban areas
Highways in the US are patrolled by sheriffs and state troopers/highway patrol/state police. Sheriffs patrol within their jurisdiction which is the county, so they don't just have the authority within the city limits but they go beyond urban areas depending on the size of the county.
 
Kazi ya polisi ni muhimu lakini labda kama unaishi sayari nyingine iwe hufahamu polisi Miafrika walivyo, asilimia kubwa kati yao hawafanyi kazi yao ipasavyo, wao wapo kimaslahi.
Matuta kawaida huwekwa na alama zote za kuashiria yapo, dereva akiwa mtiifu kwa alama za barabarani, haiwezi kuwa tabu kwake.
Usalama barabarani huanza na dereva mwenyewe, na kama sio mtiifu basi maafa lazima yawepo hata ukiwaweka maelfu ya polisi barabarani.
Kuna barabara ambazo inaruhusiwa kusafiri kwa mwendo kasi, kwa mfano hapa Kenya kwenye super highway ya Thika, humo huwa tunaachia hata kwa 110km/h bila usumbufu wa polisi kwa maana pembeni kuna kinga na pia madaraja ya wanaovuka, hivyo unaachiwa libarabara lote ushindwe wewe tu.
110km/hr!! unaendesha kama bibi yangu..... hapo tu sam nujoma napiga 120 deile! huko sasa si ntamaliza sahani.
 
Nakumbuka skuile ulipo pigwa toch makambako pale
 
110km/hr!! unaendesha kama bibi yangu..... hapo tu sam nujoma napiga 120 deile! huko sasa si ntamaliza sahani.

Hehehe!! 110Km/h ni official inayoruhusiwa, ila Wakenya walivyo vichwa ngumu, magari huchana Thika road kwa kasi za ajabu ajabu, ila mimi binafsi sipendi kwenda kwa kasi, mwoga sana, huwa nawapisha wenye haraka wapite wakafie mbele.
 
Back
Top Bottom