Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ohoooo nahisi mwenyewe umejionea hyo video... alafu kuna watu wanaendelea kufananisha huko na huku.... sijawahi kuona huku mgomo wa wafanyakazi polisi wakaingilia kati na bakora na tear gasesAcha bana. Yaani mido inkamu wanapigwa marungu, bakora na tear gases
ohoooo nahisi mwenyewe umejionea hyo video... alafu kuna watu wanaendelea kufananisha huko na huku.... sijawahi kuona huku mgomo wa wafanyakazi polisi wakaingilia kati na bakora na tear gases
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahah... ngoja nifanye hivyoAcha bana. Yaani mido inkamu wanapigwa marungu, bakora na tear gases.
Aisee fungulia Uzi wake tuchangie. Kichwa iwe jkia yageuka Syria, mabomu ya machozi, bakora na marungu yapigwa.
Kenya ni failed state usiwatetee, Wewe ulishawahi kusikia nchi yoyote ile duniani ambayo sector ya Afya haukufanyakazi kwa zaidi ya siku 100 na bado serikali haitoi ufumbuzi na hakuna anayewajibika?.
Mwezi uliopita serikali ya Tanzania ilipitisha matumizi ya kikokotoo kipya, wafanyakazi wakakikataa na kukipinga kwa njia za kistaarabu na mwisho wakafanikiwa, au Wewe lazima watu wagome kwenda kazini na kuandamana mabarabarani na kuuliwa na polisi kama huko Kenya Ndio uone wamepinga?
Sent using Jamii Forums mobile app
siyo tu mgomo hali ilivyo sasa hivi kuna kipigo kinatembea hapo uwanjani (JKA) na mbaya zaidi hadi abiria wanakula kipigo toka kwa polisi .....
fungua attachment hyo kuona clip JKA hyo abiria wanakula bakora View attachment 1039247
Sent using Jamii Forums mobile app
ishu ni kwamba imetokea kweli... na abiria wamepigwa kweli... hilo doa haliwezi kufutika leo wala keshoThat is past news, hali ni tulivu na abiria wameanza kusafiri, mitanzania mnatisha kweli kwa umbea., be up to date.,
Sent using Jamii Forums mobile app
Fao la kujitoa lilikua Katika mchakato wa kutungiwa sheria iweze kufumika rasmi, Bado haijaanza kutumika,kama ambavyo kikokotoo hakijaanza kutumika na vyote Magufuli amevifuta wasiendelee na huo mchakato.Hivi wewe upo nchi gani, au unatumia kigezo gani kupandisha hoja yako juu ya hoja, usijione wewe ni bora sana, majadiliano huwa hayakashifu upande wa pili bali uonyesha pale penye mapungufu, eti uniniheshimu ndiyo maana unanijibu hebu acha ujuha baki na heshima yako, unajidharau mwenyewe, unongela fao la kujitoa hivi wewe ni mwajiriwa kweli, kuna sakata linalowatesa wafanyakazi kama hili fao jinga kabisa wewe tena uwe unajifunza kukaakimya kwa vitu usivyovijua unatia aibu ungechagua kukaa kimya ingekunyima nini, unalazimisha mitazmo yako iwe yangu yani kweli wewe bongo lala
ishu ni kwamba imetokea kweli... na abiria wamepigwa kweli... hilo doa haliwezi kufutika leo wala kesho
haijalishi kuwa abiria walikula bakora saa tano asubuhi au saa nane mchache
kinachomata ni kuwa abiria walikula bakora
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtawasafirisha kutumia nini?? Bajaj ?? 😀
subiri mwezi may (JNIA terminal 3) ikifunguliwa ndio utajua madhara ya tukio lililotokea leo JKASo you think. Kuhamisha goli., so how will it benefit you fisi mentality Tanzanian?., mnangoja mkono uanguke ili you guys "eat"., if you understand literature.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inamaanisha vile south Africa wanavyo kua na several industrial strikes na Tz mambo ni taaratibu, so nyie mko sawa, na SA ni failed state?., your thinking is always pedestrian., Tanzania raia mumeshikwa makende., hamuwezi itisha haki yenyu, ni kupumbazwa na propaganda and wimbo wa uzalendo gushi., fake country. Better Kenya tuna anika kila kitu ili kishughulikiwe., watch keenly miaka ya mbele.,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ata mfungue kumi kama izo mara Moja,bila air traffic ya maana kama jkia or bole...ni ZERO work.subiri mwezi may (JNIA terminal 3) ikifunguliwa ndio utajua madhara ya tukio lililotokea leo JKA
kwasasa endelea kuniita fisi
alafu kumbuka it take a fisi to recognize a fisi
alafu mimi ni fisi dume sijui ww mwenzangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hauelewi wewe..The strike is illegal, the court issued orders to that effect! Now which country has workers who disobey court orders? FAILED STATEInamaanisha vile south Africa wanavyo kua na several industrial strikes na Tz mambo ni taaratibu, so nyie mko sawa, na SA ni failed state?., your thinking is always pedestrian., Tanzania raia mumeshikwa makende., hamuwezi itisha haki yenyu, ni kupumbazwa na propaganda and wimbo wa uzalendo gushi., fake country. Better Kenya tuna anika kila kitu ili kishughulikiwe., watch keenly miaka ya mbele.,
Sent using Jamii Forums mobile app
CCM inakupeleka race sana eeh?Si ndiyo hapo mkuu, miswada mingapi ya kisheria inapitishwa bungeni ni ndiyooooo ndiyooooo ndiyooooo yani mijitu toka ccm ni bogus kabisa ni bendera fuata upepo, kuna kijamaa kingine kipo hapa kinajifanya kina heshima sana humu jf ni pumba juu ya pumba hichi kijamaa Jimmie Gatsby
That strike is very justified , with the economic thugs in our country, we cannot just accept that a profit making fully public entity is taken over by a private/public entity under un-clear circumstances where some things are not clear.. WE SAY NO, hatutaibiwa mchana.Hauelewi wewe..The strike is illegal, the court issued orders to that effect! Now which country has workers who disobey court orders? FAILED STATE