KENYA: Wasafiri wa Ndege wakwama Uwanja wa Jomo Kenyatta kufuatia mgomo wa Wafanyakazi

Inamaanisha vile south Africa wanavyo kua na several industrial strikes na Tz mambo ni taaratibu, so nyie mko sawa, na SA ni failed state?., your thinking is always pedestrian., Tanzania raia mumeshikwa makende., hamuwezi itisha haki yenyu, ni kupumbazwa na propaganda and wimbo wa uzalendo gushi., fake country. Better Kenya tuna anika kila kitu ili kishughulikiwe., watch keenly miaka ya mbele.,
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ndio demokrasia inapokuwa ngumu kwa nchi za Africa,hebu fikiria wewe ndio upo pale Magogoni,Ikulu,
Airport wamegoma,huku madakitari na manesi wanagoma,hujakaa vzr,daladala zinagoma!
Unaweza kupasuka kichwa!
Hapo ni kuwatwanga tu,ambaye hataki kazi,piga chini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
That is past news, hali ni tulivu na abiria wameanza kusafiri, mitanzania mnatisha kweli kwa umbea., be up to date.,

Sent using Jamii Forums mobile app
ishu ni kwamba imetokea kweli... na abiria wamepigwa kweli... hilo doa haliwezi kufutika leo wala kesho

haijalishi kuwa abiria walikula bakora saa tano asubuhi au saa nane mchache

kinachomata ni kuwa abiria walikula bakora

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fao la kujitoa lilikua Katika mchakato wa kutungiwa sheria iweze kufumika rasmi, Bado haijaanza kutumika,kama ambavyo kikokotoo hakijaanza kutumika na vyote Magufuli amevifuta wasiendelee na huo mchakato.

Ngoja nikuulize Swali dogo, ukiambiwa utalipwa Milioni 200 ukifikisha miaka 55 utakapostaafu, au utalipwa wakati wowote unaopenda utakapoacha kazi lakini formular inayotumika utapata 30% ya 200M bora ni ipi?.

Magufuli alitengua yote mawili siku hiyohiyo, lakini wafanyakazi waliandamana na kumpongeza kwa kutengua kikokotoo na sio fao la kujitoa, hii inaonyesha ni kiasi gani kikokotoo kwa ni muhumi zaidi kuliko fao la kujitoa kama unavyolichukulia Wewe.

Wewe hujawahi kuajiriwa huna unalojua, Wewe ni mtu wa kijiweni na ni mvuta banghi, unasikiliza Maneno ya vijiweni tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So you think. Kuhamisha goli., so how will it benefit you fisi mentality Tanzanian?., mnangoja mkono uanguke ili you guys "eat"., if you understand literature.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
So you think. Kuhamisha goli., so how will it benefit you fisi mentality Tanzanian?., mnangoja mkono uanguke ili you guys "eat"., if you understand literature.

Sent using Jamii Forums mobile app
subiri mwezi may (JNIA terminal 3) ikifunguliwa ndio utajua madhara ya tukio lililotokea leo JKA

kwasasa endelea kuniita fisi

alafu kumbuka it take a fisi to recognize a fisi

alafu mimi ni fisi dume sijui ww mwenzangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Teh teh teh tihiii
Kwa vile Norway na England hakuna strikes me Kenya are many, then Kenya is more Domokratic than England.
 
Ata mfungue kumi kama izo mara Moja,bila air traffic ya maana kama jkia or bole...ni ZERO work.
 
Hauelewi wewe..The strike is illegal, the court issued orders to that effect! Now which country has workers who disobey court orders? FAILED STATE
 
CCM inakupeleka race sana eeh?
 
Hauelewi wewe..The strike is illegal, the court issued orders to that effect! Now which country has workers who disobey court orders? FAILED STATE
That strike is very justified , with the economic thugs in our country, we cannot just accept that a profit making fully public entity is taken over by a private/public entity under un-clear circumstances where some things are not clear.. WE SAY NO, hatutaibiwa mchana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…