Kenya watamani kuiga Tanzania: Wachoshwa na daily briefings za corona

Trubarg

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2020
Posts
4,388
Reaction score
7,223
Muendelezo wakutaja positive cases kila siku saa tisa alasiri bila kutoa solutions kumeonekana kuwakera Sana Wakenya kiasi kwamba kuomba huo utaratibu usitishwe Kama Tanzania ilivyofanya.

Nimeambatanisha screen shorts na video ambayo ukiangalia comments zake asilimia zaidi ya 90 wanataka Serikali ya Kenya iachane na hiyo nonesense.

Screenshot_2020-05-22-16-36-48-101_com.facebook.katana.jpg
Screenshot_2020-05-22-16-37-43-820_com.facebook.katana.jpg
Screenshot_2020-05-22-16-38-01-552_com.facebook.katana.jpg
Screenshot_2020-05-22-16-39-23-394_com.facebook.katana.jpg
Screenshot_2020-05-22-16-31-48-046_com.facebook.katana.jpg
Screenshot_2020-05-22-16-33-11-676_com.facebook.katana.jpg
Screenshot_2020-05-22-16-33-58-232_com.facebook.katana.jpg
Screenshot_2020-05-22-16-35-38-270_com.facebook.katana.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_2020-05-22-16-36-23-469_com.facebook.katana.jpg
    Screenshot_2020-05-22-16-36-23-469_com.facebook.katana.jpg
    134.9 KB · Views: 2
Sasa atakua akisimama hapo mbele ya podium mpaka lini?

Kosa Mali upate akili
Waache unafiki walipokuwa wanapewa cooked comparison na truck drivers wa Tanzania walikuwa wanachekelea sasa hamna Watanzania wanaovuka mpaka kuja Kenya wanaanza kupinga. Hawa Wakenya mafala sana ni watu wenye chuki! Warudishe fedha ya IMF ndo wapate freedom ya kutotoa daily briefings! shenzy type!
 
Naona majirani mnatamani sana tuzamie wote kwenye shimo lenye tope nzito ili tuteleze kwa pamoja hadi kuzimu. Hao hapo watakuwa wakenya wapumbavu ambao hawaelewi kwamba GOK-MOH hawatoi taarifa kwa kupenda kwao. Ila wanalazimika kikatiba kufanya hivyo na wala sio jambo la kubahitisha, bali ni haki yao kama wakenya kupata taarifa zinazowahusu kutoka kwa GOK, shirikika lolote la kiserikali, kiongozi au mkenya yeyote. Katiba ya Kenya 2010 Article 35 CAP4, PARTII inasema hivi; "1. Every citizen has the right of access to--a. Information held by the state; and b.Another person and reruired in the excercise or protection of any fundamental right and freedom." 35. Access to information - Kenya Law Reform Commission (KLRC) Serikali ya Kenya ikikosa kutoa taarifa nyeti kama hizo, kesho yake mkenya yeyote yule atapata mwanya wa kuwasilisha kesi mahakamani ili kuishurutisha serikali. GOK wanalifahumu hilo, tena sana.
 
Naona majirani mnatamani sana tuzamie wote kwenye shimo lenye tope nzito ili tuteleze kwa pamoja hadi kuzimu. Hao hapo watakuwa wakenya wapumbavu ambao hawaelewi kwamba GOK-MOH hawatoi taarifa kwa kupenda kwao. Ila ni kwasababu wanalazimika kikatiba kufanya hivyo. Ipo wazi kwenye katiba ya Kenya 2010 kwamba sio kubahitisha bali ni haki yao kama wakenya kupata taarifa zinazowahusu. Kutoka kwa serikali yao, shirika lolote la kiserikali, kiongozi ama mkenya yeyote yule. Katiba ya Kenya 2010 Article 35 CAP4, PARTII inasema hivi;35. Access to information - Kenya Law Reform Commission (KLRC) Serikali ya Kenya ikikosa kutoa taarifa nyeti kama hizo kesho yake mkenya yeyote yule atapata mwanya wa kuwasilisha kesi mahakamani ili kuishurutisha serikali itoe taarifa hizo. GOK wanalifahamu hilo, tena sana.
Sikia hii pimbi aka [emoji205]
Mbona alshababu wakiua kdf hiyo katiba haitumiki kutujulisha vifo vya kdf, kdf zaidi ya 870 wamekufa somalia serikali yenu inaficha

Send by APOLO 1
 
Naona majirani mnatamani sana tuzamie wote kwenye shimo lenye tope nzito ili tuteleze kwa pamoja hadi kuzimu. Hao hapo watakuwa wakenya wapumbavu ambao hawaelewi kwamba GOK-MOH hawatoi taarifa kwa kupenda kwao. Ila wanalazimika kikatiba kufanya hivyo na wala sio jambo la kubahitisha, bali ni haki yao kama wakenya kupata taarifa zinazowahusu kutoka kwa GOK, shirikika lolote la kiserikali, kiongozi au mkenya yeyote. Katiba ya Kenya 2010 Article 35 CAP4, PARTII inasema hivi; "1. Every citizen has the right of access to--a. Information held by the state; and b.Another person and reruired in the excercise or protection of any fundamental right and freedom." 35. Access to information - Kenya Law Reform Commission (KLRC) Serikali ya Kenya ikikosa kutoa taarifa nyeti kama hizo, kesho yake mkenya yeyote yule atapata mwanya wa kuwasilisha kesi mahakamani ili kuishurutisha serikali. GOK wanalifahumu hilo, tena sana.
Wanaopata malaria, typhoid, cancer, HIV, etc

Na wenyewe data zao zinatangazwa na nani in daily basis?

Acha kutufanya wote punguani kama ninyi
 
Kwanza mi natamani waendelee kujifungia hivyo hivyo ili wakija kujifungulia tayari tushawapiga bao la kiuchumi,na bado waikute korona ipo vile vile mana tiba yake wala chanjo yake haijapatikana
 
Wanaopata malaria, typhoid, cancer, HIV, etc

Na wenyewe data zao zinatangazwa na nani in daily basis?

Acha kutufanya wote punguani kama ninyi
Punguani ni wewe ambaye unatetea upumbavu wa kuficha data ukitumia hoja za kilofa. Umesikia hata siku moja kwamba Kenya imeficha takwimu zinazohusiana na HIV au hata Cancer? Leo hii maambukizi yakiibuka ya ugonjwa mwingine ambao ni hatari kama Corona km. Ebola au Marburg taarifa zitatolewa tu kama hizi za COVID-19. Hata 'physical' briefing za kila siku zikisitishwa taarifa bado zitaendelea kutolewa kwa njia moja au nyingine km. mitandaoni kupitia site rasmi za GOK.
 
itafika wakati mtajiona ni wajinga kusimama katika podium daily,maana nayo ni kama inaongeza kasi kila mkitaja.
 
Shobo nyingii!! Hivi wale waliokuwa wanajiita wahandishi wa habari za korona wako wapi vile nikumbushe ?
Naona majirani mnatamani sana tuzamie wote kwenye shimo lenye tope nzito ili tuteleze kwa pamoja hadi kuzimu. Hao hapo watakuwa wakenya wapumbavu ambao hawaelewi kwamba GOK-MOH hawatoi taarifa kwa kupenda kwao. Ila wanalazimika kikatiba kufanya hivyo na wala sio jambo la kubahitisha, bali ni haki yao kama wakenya kupata taarifa zinazowahusu kutoka kwa GOK, shirikika lolote la kiserikali, kiongozi au mkenya yeyote. Katiba ya Kenya 2010 Article 35 CAP4, PARTII inasema hivi; "1. Every citizen has the right of access to--a. Information held by the state; and b.Another person and reruired in the excercise or protection of any fundamental right and freedom." 35. Access to information - Kenya Law Reform Commission (KLRC) Serikali ya Kenya ikikosa kutoa taarifa nyeti kama hizo, kesho yake mkenya yeyote yule atapata mwanya wa kuwasilisha kesi mahakamani ili kuishurutisha serikali. GOK wanalifahumu hilo, tena sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakenya na Waganda wamemuona Magufuli Kama visionary leader sana nina rafiki yangu yupo Uganda anatamani sana aje tz kipindi hichi ni ivo hakuna usafiri ananiambia wamekuwa promised kila mtu kupewa Face mask moja ila hii ni week ya pili hazijafika, Wao kuna time wanakuwa out of the stock and nearest shops unakuta ziko closed japo mzee ali orders essential products maduka yasifungwe, Anaesema nchi itapata mtikisiko mkubwa convid ikipita. Mimi nasema madhara ya lockdown yatakuwa huge zaidi ya madhara ya corona huu msimamo ninao tangu convid inaingia mana tayari rate ya blacks haswa wa huku africa walionesha kuwa na tolerance kubwa compare na whites
Ivo partial lockdown, Full lockdown na Curfew ni unrealistic kwa Africa
 
Back
Top Bottom