Kenya watamani kuiga Tanzania: Wachoshwa na daily briefings za corona

Kenya watamani kuiga Tanzania: Wachoshwa na daily briefings za corona

Naona majirani mnatamani sana tuzamie wote kwenye shimo lenye tope nzito ili tuteleze kwa pamoja hadi kuzimu. Hao hapo watakuwa wakenya wapumbavu ambao hawaelewi kwamba GOK-MOH hawatoi taarifa kwa kupenda kwao. Ila wanalazimika kikatiba kufanya hivyo na wala sio jambo la kubahitisha, bali ni haki yao kama wakenya kupata taarifa zinazowahusu kutoka kwa GOK, shirikika lolote la kiserikali, kiongozi au mkenya yeyote. Katiba ya Kenya 2010 Article 35 CAP4, PARTII inasema hivi; "1. Every citizen has the right of access to--a. Information held by the state; and b.Another person and reruired in the excercise or protection of any fundamental right and freedom." 35. Access to information - Kenya Law Reform Commission (KLRC) Serikali ya Kenya ikikosa kutoa taarifa nyeti kama hizo, kesho yake mkenya yeyote yule atapata mwanya wa kuwasilisha kesi mahakamani ili kuishurutisha serikali. GOK wanalifahumu hilo, tena sana.
Wapi taarifa za
1)Pesa ya NYS
2)Pesa za laptop per child
3)Pesa ya Galana Kulalu
4)Why SGR was over priced
5)Who killed Msando and Jacob Jumwa
6)Matumizi mabaya ya Fedha za kupambana na Covid- 19

Nini ni mapoyoyo, mnaiga kila linalofanyika nchi za nje bila kujua faida na hasara zake. Ninakuhakikishia ndani ya wiki moja toka sasa hiyo daily briefing itakoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom