Majira ya 9:30 Kadhi mkuu wa komoro ametangaza kuandama kwa mwezi baada ya kuthibisha kutoka vyanzo mbalimbali nchini humo.
View: https://x.com/abdullahikomoro/status/2034711609927438359?s=46
Moods rekebisheni ni Komoro
Mbona wanaongea kiingereza na siyo kiarabu wahuni hawaMajira ya 9:30 Kadhi mkuu wa komoro ametangaza kuandama kwa mwezi baada ya kuthibisha kutoka vyanzo mbalimbali nchini humo.
Sio ya Wasunni, hii ndio ya Waislam Haswaa, hiyo nyingine ya KikafiriWanasema Eid hii ya ijumaa ni ya wasunni
Tatizo liko wapi?Mbona wanaongea kiingereza na siyo kiarabu wahuni hawa
Majira ya 9:30 Kadhi mkuu wa komoro ametangaza kuandama kwa mwezi baada ya kuthibisha kutoka vyanzo mbalimbali nchini humo.
Kumbe kuna Waislamu makafir 😂 nilijua n wakristo tuu ndio makafirSio ya Wasunni, hii ndio ya Waislam Haswaa, hiyo nyingine ya Kikafiri
Lugha ya makafiriTatizo liko wapi?