Kenya: Watu 279 wamedhurika baada ya chanjo ya covid19, mmoja afariki

Mkuu chanjo za corona zipo aina tofauti lakini sasa kwanini mara zote ukisikia shida kwenye chanjo basi ni Astrazeneca?
 
Mkuu chanjo za corona zipo aina tofauti lakini sasa kwanini mara zote ukisikia shida kwenye chanjo basi ni Astrazeneca?

Hata hizo nyingine zina side effect possibly Astrazeneca ndio imeuzwa sana compare na hizo nyingine.
 
Tony254
 
Ukijiona wewe ni rasta usikimbilie kunyolewa ili uonekane mzuri kama mwenzako, maana saa ukikatwa sikio kinyozi hatoyahisi maumivu yako.
 
Kwanini wanatumia Astrazeneca wakati nchi nyingi wameacha kuitumia kutokana kusababisha matatizo?
 


Nani juha kati yetu na nyie???---- hiyo chanjo ni mRNA (messenger RNA), ikiingia mwilini inapeleka command kwenye Genes na inaweza kubadili kabisa Genetic codes zenu na madhara sio hayo tu mliyopata kwa huo muda mfupi (temporary side effects), madhara (permanent adverse effects) yanaweza kutokea huko mbeleni kwa watoto na wajukuu zenu pale mtakapo wazaa wakiwa Majuha mara mbili yenu (2× more idiots than you parents).

Kumbuka Astrazeca iliyoletwa Kenya yawezekana sio ile iliyotumika Ulaya na Marekani Mabeberu ni watu wa hovyo hawatupendi sisi watu weusi, mnenunua sumu ili mfe kwa ujuha wenu, (the poison for sale).

Chanjo bora za Corona so far ni Sinovac na Sputnik.
 
Hivi hizi chanjo tunaletewa Afrika zina ubora sawa na zile wanazopewa kule US na UK!!!
 
Hivi hizi chanjo tunaletewa Afrika zina ubora sawa na zile wanazopewa kule US na UK!!!


Muulize MK254 analo jibu kwani huko kwao Kenya wameanza kudungwa sumu fulani wakidai ni chanjo ya Covid 19 iliyowaendesha kishenzi kutokana na madhara yake.
 

Hizi nadharia za kijinga umekaririshwa na nani, dunia mpaka sasa wamechanjwa mamilioni ya watu, tena wengi waliokuzidi elimu mara 1,000
Huo ukaidi wenu ndio umesababisha muwe taifa la pili duniani kumpoteza rais baada ya yule mkaidi wa Burundi ambaye naye aliiga ujuha wenu yakamkuta.
 
Hata hizo nyingine zina side effect possibly Astrazeneca ndio imeuzwa sana compare na hizo nyingine.
Kwahiyo kwa sababu Astrazeneca imeuzwa sana ndio inafanya tusisikie malalamiko ya side effects za hizo chanjo zengine?

Halafu unasema hata hizo zengine zina side effects lakini hapo hapo watu wakilalamika kuganda kwa damu baada ya kutumia Astrazeneca mnakataa hazigandishi damu,sasa hizo side effects mnazosema ni zipi hebu niambie Astrazeneca side effects zake ni zipi?
 
Hoja ni kwamba tunaambiwa hizo chanjo ni salama na ndio maana hao watu wakakubali kuchanjwa sasa haya yanayoibuka yanatakiwa yatolewe majibu na sio kusema hawajalazimishwa. Huko Saudia ili uende kuhiji unalazimishwa chanjo kama hutaki hauendi.
Utunzaji wa chanjo ni mgumu inachangia kuzifanya ziharibike haraka. Na vile zimewahishwa lazima ziwe na side effects kubwa kidogo.

Dawa za insulin nazo zinaua, kwahiyo wenye kisaukari waache kuzitumia? ARVs zina side effects kwahiyo wenye HIV+ wasitumie. Madhara ya kutochanjwa kwa wenye umri mkubwa ni makubwa zaidi kuliko kifo cha mtu mmoja kwa side effects kati ya 370,000.

Kwanza hii chanjo wanapata wengi watu wazima na wagonjwa wengine, probability ya kuwa afya mgogoro ni kubwa hivo dawa yoyote kali lazima iwasumbue. Hilo la Saudi Arabia kulazimisha sikulipokea vema.
 
Unajua tatizo hapa mnakubali kiujumla kuwa chanjo huwa zina side effects na kulinganisha kuwa sawa na madawa yalivyo na side effects ila hapo hapo mnakataa malalamiko ya madhara wanayopata watu baada ya kutumia hizo chanjo,mfano suala la baadhi ya watu kuganda damu baada ya kutumia Astrazeneca mnalikataa na kusema watakuwa wameganda damu kwa sababu zengine kwamba mbona mamilioni ya watu wamechanjwa na hawajaganda damu na kuendelea kusema kuwa hizo chanjo hazina shida, Hata hili la Kenya pia bado mnasema watakuwa wamedhurika kwa matatizo mengine ila sio chanjo.

Sasa hapo mie nashindwa kuwaelewa.
 


Vip Boss umesha sign ? Tunawaonea huruma sana maskini, mko na shida mingi everywhere , wacha uhuru awanyooshe mbwa nyie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…