Hatimaye Kenya imepiga marufuku magari ya abiria kusafiri usiku. Tegemea Wamiliki wa matatu kufungua kesi mahakamani kupinga marufuku. Swali- Je marufuku ya magari ya abiria kusafiri usiku imepunguza ajali za barabarani Tanzania?