simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Eldoret Nakuru highway kunani? Kila kukicha ajali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imesaidia sana, lakini muhimu zaidi ni kuwadhibiti madereva barabarani kwa kuweka askari na road blocks nyingi, hili linawezekana tu nyakati za mchanaHatimaye Kenya imepiga marufuku magari ya abiria kusafiri usiku. Tegemea Wamiliki wa matatu kufungua kesi mahakamani kupinga marufuku. Swali- Je marufuku ya magari ya abiria kusafiri usiku imepunguza ajali za barabarani Tanzania?