Baada ya Kenya kuendelea na msimamo Wake wa kufungia wananch Hali imezid kua mbaya baada ya watu kuanza kuanguka na kupoteza faham wakat wa kugombea chakula
Pia katika mgao huo Kuna baadh wamelalamika kukosa chakula na kuanza kutupa lawama kwa serekal