Kenya: where 20% of it's yearly budget pays interest rates to "Chong hu"!

Arooo! Note that 20% is for interest rate only that means excludes the solid loan itself! No wonder u have a budget of $20 bln but builds less than 1000km of roads n u suffer of hunger! Open ur eyes, half of ur budget pays loans
 
Hivyo ndivyo uchumi wa Ugiriki, Hispania ulivyoanza kusambaratika, hata ukisikia Jimbo huko Spain linataka kujitenga ni kwasababu wanahisi serikali kuu inashindwa kuendesha nchi"when poverty comes through the door, love escapes through the window", Kenya haiwezi kubaki salama, ukiondoa ukabila unaowasumbua, umasikini unazidisha hasira na kuzidi kuchukiana.
 
Kuna bwege mmoja Mkikuyu anaisema Zimbabwe huku akijitamba na Katiba yao. Mimi nimemwambia wawasambaze wanajeshi wao mtaani halafu tuone kama Uhuruto watabaki madarakani kwa jinsi walivyogawanyika kiukabila!
 
Kuna bwege mmoja Mkikuyu anathema Zimbabwe huku akijitamba na Katiba yao. Mimi nimemwambia wawasambaze wanajeshi wao maana halafu tuone kama Uhuruto watabaki madarakani kwa jinsi walivyogawanyika kiukabila!
Ninahisi wakenya wengi uwezo wao wa kufikiria ni mdogo sana, au tabia ya kupenda sifa imezubaza uwezo wao wa kuona hali alisi yanayotokea katika nchi yao, sasa hivi hawasomi yanayotokea nchi mbalimbali duniani badala yake wamekumbatia katiba, ambayo kinadharia ni nzuri, lakini kiuhalisia is one among useless constitution on the globe.
 
hawaelewi
theory vs practice
wataangukia tena kwenye ule mtego wa kudanganywa na makaratasi (maisha ya kusadikika) ambayo yanaeleza GDP kuwa kubwa lkn tofauti na uhalisia wa maisha ya mKenya.
 
hiyo ndiyo Kenya kaka. ARDHI ya wilaya nzima inamilikiwa na familia ya Kenyatta.
 
Wewe huku Tz unamiliki ardhi kiasi gani?

in Tanzania we r not talking about land redistribution but land adjudication coz every individual has an equitable access to land.
in Kenya there is no equality in access to land.
 
in Tanzania we r not talking about land redistribution but land adjudication coz every individual has an equitable access to land.
in Kenya there is no equality in access to land.
So your Land size is equal to that of Bakhresa?
 
GDP ya Tanzania ni ngapi ukilinganisha na ile y Kenya ukitumia takwimu za world bank?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…