Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
- #21
SignificantHivi sasa ni watanzania wangapi wenye Mali kama ya Bhakresa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SignificantHivi sasa ni watanzania wangapi wenye Mali kama ya Bhakresa?
Hivyo ndivyo uchumi wa Ugiriki, Hispania ulivyoanza kusambaratika, hata ukisikia Jimbo huko Spain linataka kujitenga ni kwasababu wanahisi serikali kuu inashindwa kuendesha nchi"when poverty comes through the door, love escapes through the window", Kenya haiwezi kubaki salama, ukiondoa ukabila unaowasumbua, umasikini unazidisha hasira na kuzidi kuchukiana.Arooo! Note that 20% is for interest rate only that means excludes the solid loan itself! No wonder u have a budget of $20 bln but builds less than 1000km of roads n u suffer of hunger! Open ur eyes, half of ur budget pays loans
Kuna bwege mmoja Mkikuyu anaisema Zimbabwe huku akijitamba na Katiba yao. Mimi nimemwambia wawasambaze wanajeshi wao mtaani halafu tuone kama Uhuruto watabaki madarakani kwa jinsi walivyogawanyika kiukabila!Hivyo ndivyo uchumi wa Ugiriki, Hispania ulivyoanza kusambaratika, hata ukisikia Jimbo huko Spain linataka kujitenga ni kwasababu wanahisi serikali kuu inashindwa kuendesha nchi"when poverty comes through the door, love escapes through the window", Kenya haiwezi kubaki salama, ukiondoa ukabila unaowasumbua, umasikini unazidisha hasira na kuzidi kuchukiana.
Ninahisi wakenya wengi uwezo wao wa kufikiria ni mdogo sana, au tabia ya kupenda sifa imezubaza uwezo wao wa kuona hali alisi yanayotokea katika nchi yao, sasa hivi hawasomi yanayotokea nchi mbalimbali duniani badala yake wamekumbatia katiba, ambayo kinadharia ni nzuri, lakini kiuhalisia is one among useless constitution on the globe.Kuna bwege mmoja Mkikuyu anathema Zimbabwe huku akijitamba na Katiba yao. Mimi nimemwambia wawasambaze wanajeshi wao maana halafu tuone kama Uhuruto watabaki madarakani kwa jinsi walivyogawanyika kiukabila!
Ninahisi wakenya wengi uwezo wao wa kufikiria ni mdogo sana, au tabia ya kupenda sifa imezubaza uwezo wao wa kuona hali alisi yanayotokea katika nchi yao, sasa hivi hawasomi yanayotokea nchi mbalimbali duniani badala yake wamekumbatia katiba, ambayo kinadharia ni nzuri, lakini kiuhalisia is one among useless constitution on the globe.
Kama kawaida Hauna jibu ni ubishi tuuu.Significant
Wewe huku Tz unamiliki ardhi kiasi gani?hiyo ndiyo Kenya kaka. ARDHI ya wilaya nzima inamilikiwa na familia ya Kenyatta.
Wewe huku Tz unamiliki ardhi kiasi gani?
So your Land size is equal to that of Bakhresa?in Tanzania we r not talking about land redistribution but land adjudication coz every individual has an equitable access to land.
in Kenya there is no equality in access to land.
So your Land size is equal to that of Bakhresa?
We leteni tena ng'ombe zenu kuchungaSo your Land size is equal to that of Bakhresa?
Safari hii tunazinywa supu, hatuzipeleki mahakamani, tunagawana sisi wanakijiji,We leteni tena ng'ombe zenu kuchunga
GDP ya Tanzania ni ngapi ukilinganisha na ile y Kenya ukitumia takwimu za world bank?Huna sababu ya kubisha, yako mashirika ya kimataifa na kitaifa ambayo kazi zao ni kukusanya hizi taarifa duniani kote ikiwepo World Bank na IMF, pitia website zao ujionee jinsi Tanzania ilivyo juu katika vipengele vingi vya uchumi, ukiondoa GDP na per capital, na hata hivyo pia muda sio mrefu vitafutika, kwasababu kasi ya kukua uchumi wa Tanzania kwa sasa ni mara moja na nusu zaidi ya ule wa Kenya, uchumi wa Kenya upo katika hali mbaya,