KENYA WILL HAVE TO WAIT A BIT LONGER

KENYA WILL HAVE TO WAIT A BIT LONGER

Mimi niko na official scanned govt documents zinazoonyesha $5B . Hizo nyengine ni story za vijiweni
Your word against theirs. Kuna loan zingine zinapitia third party lakini if you trace the money, it goes back to the Chinese. Kwani mkinunua viatu, lipstick na cheap phones kutoka china mnawalipa mnakipa vyote cash? (Letter of credit)
 
Maji maji rebellion kwa kila namna...kama hao ndio walikuwa wahenga wenu basi naona kwa jinsi gani mpo pale LDC.
Post zako zinatuambia lizima utakuwa unaota LDC usingizini.
 
Swali langu, Kenya ilifanya nini kibaya ambacho South Africa hawawezi kusamehe and move on with trade links. Free visa is part of mutual trade ties.
Ni kwasababu Jomo Kenyatta alikuwa anashirikiana na makaburu wakati wa apartheid.
 
Back
Top Bottom