Maji maji rebellion kwa kila namna...kama hao ndio walikuwa wahenga wenu basi naona kwa jinsi gani mpo pale LDC.The paper says otherwise, labda kuna loans zingine serikali inachukuwa haiwaambi.View attachment 880371
Your word against theirs. Kuna loan zingine zinapitia third party lakini if you trace the money, it goes back to the Chinese. Kwani mkinunua viatu, lipstick na cheap phones kutoka china mnawalipa mnakipa vyote cash? (Letter of credit)Mimi niko na official scanned govt documents zinazoonyesha $5B . Hizo nyengine ni story za vijiweni
Nikiwaona tu! Huwa naona LDC hata uvundo wenu hivo hivo.Post zako zinatuambia lizima utakuwa unaota LDC usingizini.
Bila kusahau Tz ni LDC alafu mnatudanganya huwa hamkopi.
Kabisa babaa.Wasema opposite attracts, tunaona vile tumekubamba.
Ni kwasababu Jomo Kenyatta alikuwa anashirikiana na makaburu wakati wa apartheid.Swali langu, Kenya ilifanya nini kibaya ambacho South Africa hawawezi kusamehe and move on with trade links. Free visa is part of mutual trade ties.