Kenya: Wizara ya Afya imetangaza wagonjwa wengine wa corona 45

Usiku ndio watu huwa hawachukui tahdhari, ndio huwa mnakusanyika kwenye mabaa na kulewa, kwenye giza hakuna anayefuatiia kama umevaa barakoa wala nini, ndio mnawakunja machangudoa, kwa kifupi usiku ndio muda wa kueneza kirusi kwa kasi.
Kwa hiyo hizo nchi zote ambazo zimeweka "total lock down " usiku na mchana inamaana hawajui walifanyalo?. Mbona Kenya kila siku idadi ibaongezeka kwa kasi kuliko Uganda na Rwanda ambao wameweka total lockdown?.

Wataalamu wanaonyesha kwamba "total lockdown ina uwezo wa kupunguza maambukizi hadi 80% kama itatekelezwa ipasavyo, hakujawa na ushahidi wowote unaoonyesha kwamba " evening curfew" inapunguza maambukizi. Jambo la maana Kenya imelifanya ni hiyo "Partial lockdown" kuzui watu kuingia na kutoka katika mikoa yenye maambukizi mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
haulali ikiiwaza kenya bwana wee! shughulikia haya kwanza tanganyika kaka!!!

Maweee!!! Jameni yamekua hivi Tanzania.....kiburi na mikwara wakati watu wanandodoka kama majani ya miti...
 
Usiku ndio watu huwa hawachukui tahdhari, ndio huwa mnakusanyika kwenye mabaa na kulewa, kwenye giza hakuna anayefuatiia kama umevaa barakoa wala nini, ndio mnawakunja machangudoa, kwa kifupi usiku ndio muda wa kueneza kirusi kwa kasi.
[emoji2] changudoa ata mchana anakunjwa tu mkuu, ila ningekuwa mm kenyata lazima ungelamba shavu la uwaziri wa mambo ya nje au ningekuweka kitengo cha ushushu coz uko vzr kufuatilia mambo mbalimbali. Naamin unaijua tz vzr na maovu yake kuliko ata mambulula wengi wa hapa hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo umepata nguvu ya kucomment after kuingia mitini[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…