joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kwa hiyo hizo nchi zote ambazo zimeweka "total lock down " usiku na mchana inamaana hawajui walifanyalo?. Mbona Kenya kila siku idadi ibaongezeka kwa kasi kuliko Uganda na Rwanda ambao wameweka total lockdown?.Usiku ndio watu huwa hawachukui tahdhari, ndio huwa mnakusanyika kwenye mabaa na kulewa, kwenye giza hakuna anayefuatiia kama umevaa barakoa wala nini, ndio mnawakunja machangudoa, kwa kifupi usiku ndio muda wa kueneza kirusi kwa kasi.
Wataalamu wanaonyesha kwamba "total lockdown ina uwezo wa kupunguza maambukizi hadi 80% kama itatekelezwa ipasavyo, hakujawa na ushahidi wowote unaoonyesha kwamba " evening curfew" inapunguza maambukizi. Jambo la maana Kenya imelifanya ni hiyo "Partial lockdown" kuzui watu kuingia na kutoka katika mikoa yenye maambukizi mengi.
Sent using Jamii Forums mobile app