Kenya won't lose Agoa status, but its EAC partners may be thrown out

Kenya won't lose Agoa status, but its EAC partners may be thrown out

Pale ni ju ya cost si coz tshirt haziezi kuwa printed huku....akili iko empty
He hee, akili empt ni nyinyi bhana. Sikiliza buda I know it pains, hapo utake usitake jubilee wamewakosea sana. Sema kwa sababu ya cost as you've said & mlichagua wenyewe ubepari, hakuna budi mambo kama hayo kutokea, tena ndio kwaanza yanaanza, serikali ndio inawajibu kusaidia viwanda vyenu vitoze cost ndogo.
 
Kum
Eti cost!! The truth nikwamba hamna technology ya mass production alafu mnatetea AGOA. Wachina pamba wanaichukua Africa and then your defending your self through cost. Kubali Hamna viwanda vya kutosha vya nguo. Nahi utasema mini??
Yet Kenya sold to the US clothes worth nearly 400m$!

Tanzania ikiuzia Kenya nguo worth how much?
 
Hiyo tshirt moja tu ndio mnaonyesha, wapi zingine? Ni kampuni gani hiyo Tanzamia ilipewa hiyo tenda kusupply Tshirts katika uzinduzi wa sgr?
Man! Zipo kampuni mob, hiyo most likely itakuwa ni mojawapo za kampuni zilizopo Arusha, venye ni karibu na Nairobae. Na hizo kampuni hazichukui tenda ya kutengeneza T-shirt moja, hiyo moja ni sample tu. Kampuni itakuwa iliwatengenezea t shirts elfu na zaidi huko, maana kuna discounts kubwa, the larger the bulk.
 
Hivi umevuta bangi?? Hiyo reply niyangu au ya Mkenya mwenzako?? Au wewe mgeni humu jamii forum?? Soma nani kaandika hiyo viwonder sikunyingine usikulupuke. Huyo nimkenya mwenzako alafu na wewe unaandika kiswahili kibovu
/
Hapo kwenye bold umeniuaa, mulisaaa hivi hivyo viwonder ni yapi? Utaua kitu yenye haipo?
 
He hee, akili empt ni nyinyi bhana. Sikiliza buda I know it pains, hapo utake usitake jubilee wamewakosea sana. Sema kwa sababu ya cost as you've said & mlichagua wenyewe ubepari, hakuna budi mambo kama hayo kutokea, tena ndio kwaanza yanaanza, serikali ndio inawajibu kusaidia viwanda vyenu vitoze cost ndogo.
Hapo tunakubali walikosea, lakn that is off topic.

Topic hapa ni kuhusu Kenya kuuza nguo worth 400m$, na nyinyi wengine nyote kujumishwa hamfikishi hata 45m$!

Mnalenga huo ukweli na sijui sgr tshirts na Jubilee tshirts on China.
 
Mnauza mashuka na nguo za wafungwa mnaita nguo. Angalia picha aliyo post rafiki yako. Pili sisi atuitaji Marekani wakati soko la ndani linatoshabado. For you Kenyans your producing clothing which you don't consume and consume what you don't produce. Najua umeelewa tofauti yetu na nyinyi.
Yet Kenya sold to the US clothes worth nearly 400m$!

Tanzania ikiuzia Kenya nguo worth how much?
 
Mimi huwa na sema linapokuja kwenye swala la biashara Africa Mashariki akuna nchi yenye unafiki kama Kenya. Kwa sasa Kenya wanatoza bidhaa kodi kubwa zinazotengenezwa Tanzania kwenda Kenya. Lakini nimefurahisha na serikali ya Magufuri na wao wamedai wanaanza kutoza kodi kubwa mwenye bidhaa za Kenya zinazo kuja Tanzania. Ukweli nikwamba Tanzania inauza zaidi Kenya kuliko wao wanavyouza uku Tanzania.
Wakenya wanafiki sana. Walivunja east Africa community kipindi kile kwa unafiki wao. Sasa ivi wakivunja na tunafungia hakuna nyang'au wowote wa Kenya kuja apa Beautiful land of Tanzania
 
Hapo tunakubali walikosea, lakn that is off topic.

Topic hapa ni kuhusu Kenya kuuza nguo worth 400m$, na nyinyi wengine nyote kujumishwa hamfikishi hata 45m$!

Mnalenga huo ukweli na sijui sgr tshirts na Jubilee tshirts on China.
Topic ni kuhusu mauzo marekani, sisi haturukii huko nje kabla ya kumalizana na huku ndani. Sasa nyie mnauza nini marekani wakati vi T-shirt tu mnaagiza tokea China na Tz. Na markets sio marekani peke yake.
 
Hapo tunakubali walikosea, lakn that is off topic.Naludia tena. For you Kenyans you produce clothing which you don't consume and consume what you don't produce. Which is the vice versa with Tanzania. Domaana atunampango sana na soko la Marekani. Unapo mpiga chura teke unamuongezea mwendo. Wanalijua vizuri sana tu wamarekani. Atutaki tuje nasababu za walitwambia ivi mala vile. Tunajisimamia mkuu

Topic hapa ni kuhusu Kenya kuuza nguo worth 400m$, na nyinyi wengine nyote kujumishwa hamfikishi hata 45m$!

Mnalenga huo ukweli na sijui sgr tshirts na Jubilee tshirts on China.
 
Naludia tena. For you Kenyans you produce clothing which you don't consume and consume what you don't produce. Which is the vice versa with Tanzania. Ndomaana atunampango sana na soko la Marekani. Unapo mpiga chura teke unamuongezea mwendo. Wanalijua vizuri sana tu wamarekani. Atutaki tuje nasababu za walitwambia ivi mala vile. Tunajisimamia mkuu
Hapo tunakubali walikosea, lakn that is off topic.

Topic hapa ni kuhusu Kenya kuuza nguo worth 400m$, na nyinyi wengine nyote kujumishwa hamfikishi hata 45m$!

Mnalenga huo ukweli na sijui sgr tshirts na Jubilee tshirts on China.
 
Naludia tena. For you Kenyans you produce clothing which you don't consume and consume what you don't produce. Which is the vice versa with Tanzania. Ndomaana atunampango sana na soko la Marekani. Unapo mpiga chura teke unamuongezea mwendo. Wanalijua vizuri sana tu wamarekani. Atutaki tuje nasababu za walitwambia ivi mala vile. Tunajisimamia mkuu


Ha! Ati Tanzanians dont wear mitumbas? Danganya wengine.
 
Basi jaribu kuleta container lako la mitumba uone nini tutafanya. Ujinga wakuvaa mitumba utabaki Kenya. Unavaa nguo za marehemu aliye kufa ulaya.??? It seems huko mnashare hadi nguo..
hqdefault-1.jpg
hqdefault-1.jpg
hqdefault-1.jpg
Ha! Ati Tanzanians dont wear mitumbas? Danganya wengine.
 
agoa.jpg


A Kenyan worker sews clothes for export at the Alltex EPZ factory in Athi River Kenya. FILE PHOTO

Kenya no longer faces possible loss of Agoa trade benefits, US officials announced on Tuesday.

However, three other East African Community member states — Rwanda, Tanzania and Uganda — must undergo an assessment of their Agoa eligibility status, Washington's top trade agency affirmed.

The assessment could result in their ejection from the preferential trade programme.

A review of Kenya's inclusion in the African Growth and Opportunity Act “is not warranted at this time,” the Office of the US Trade Representative said in a notice published in a federal government gazette.

It cited “recent actions Kenya has taken, including reversing tariff increases, effective July 1, 2017, and committing not to ban imports of used clothing through policy measures that are more trade-restrictive than necessary to protect human health.”

Continue monitoring

The US trade office added that it “will continue to monitor Kenya's actions to ensure that Kenya follows through on its commitments.”

The US decision to spare Kenya from a process that would have jeopardised the country's 66,000 Agoa-related jobs “is, no doubt, a victory for Kenya's trade diplomacy,” said Abdirizak Musa, an official in Nairobi's embassy in Washington.


Rwanda, Tanzania and Uganda still risk loss of their Agoa benefits due to their ongoing commitment to a March 2016 EAC decision to phase in a ban on imports of used clothing and footwear from the US.

The EAC countries, including Kenya, were named in a petition filed three months ago by a US-based recycled textiles association alleging that the joint move to bar imports of used clothing violates Agoa eligibility criteria.

Thousands of jobs in East Africa and the US would be lost if the clothing ban is implemented, the association argued.

Eliminating barriers

Among the standards African countries must meet for participation in Agoa is a demonstration of progress toward eliminating barriers to US trade and investment.

US trade officials will now assess the recycled materials association's claims against Rwanda, Tanzania and Uganda.

A public hearing on the issue is scheduled to take place in Washington on July 13.

Combined imports from Rwanda, Tanzania, and Uganda under Agoa's duty-free provisions amounted to $43 million last year — up from $33 million in 2015.

Agoa is a far more valuable instrument for Kenya, which exported $394 million worth of textiles and apparel to the US in 2016.

The Trump administration intends to rigorously enforce Agoa eligibility requirements, US Commerce Secretary Wilbur Ross said last week at a US-Africa Business Summit.

He warned that “countries currently benefiting from trade preferences granted by the African Growth and Opportunity Act [must] continue complying with eligibility requirements established in US law.”

Lobbying firm

Prior to Tuesday's announcement that its status is not in jeopardy, Kenya had responded to the threatened loss of Agoa benefits by hiring a Washington lobbying firm with ties to the Trump administration.


The Kenyan embassy in Washington pointed to the Agoa issue as a key reason for retaining the Sonoran Policy Group at a rate of $100,000-a-month for the next three months.

US trade law gives the president the option of suspending or limiting duty-free treatment of imports from an African country found to be out of compliance with Agoa standards.

President Trump could thus stop short of expelling Rwanda, Tanzania and Uganda from Agoa if the recycled materials association prevails in its case against the three EAC states.

Kenya won't lose Agoa status, EAC partners at risk
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
wait do we really need this deal coz our local manufacturers are suffering....plus the trade is not favorable to us...43 million against 200 million? seriously? on the plus side, atleast used clothes are more affordable than new ones plus many have been employed in Gikomba, Githurai and other markets...so not so bad after all
Mkuu Soma tena hyo Paragraph....

Kenya is The Largest Exporter on AGOA

AGOA IS HQ in Nairobi
 
So, are u saying that Kenya imports all the raw materials from Asia worth nearly 400m$, and that it does not produce even "buttons", of all the things?
Hahaha, Kenya iko na very vibrant chemicals industry, dye tushindwe kutengeza namna gani?

Bora hata Watanzania wenzangu wamekujibu, because you've started to loose the plot. Hivi hata ulisoma nilichoandika au umekurupuka kujibu haraka haraka, didn't you see the part I said.... Kenya is not producing enough yarn, enough polyester, enough dye, keyword here is ENOUGH. Even though, unasema Kenya mna-vibrate chemical industry (which i will not believe for a second), wapi mnapata "secondary" raw material za kutosheleza viwanda vya nguo, vipi Kenya cotton industry ni kubwa ya kuweza kutosheleza production ya nguo zote hizo, do you even know what is required to produce polyester material, sawing machine zinatoka wapi?

But the funny thing is ...pale manpokataa kukataza mitumba, your making brand new cloth, ship them to US, end then import them back as mitumba. Mbaya zaidi, those brand new cloth you've sold to US are paying for themselves kwa pesa mnayonunulia mitumba. In the simple terms, matajiri wanaolazimisha AGOA iendelee ili watengeneze pesa hawajali watu wa kipato cha chini wanavaa nini. How sad is that.


Why China and India benefit more from Agoa than Kenya

'Does AGOA unfairly benefit Chinese firms?' - Agoa.info - African Growth and Opportunity Act

AGOA benefited Chinese entrepreneurs more than Africans, says Mboweni - African Business Magazine
 
Shida nikwamba kiwanda changuo cha Kenya akina technology sawa nakiwanda cha Marekani. Ndo maana wao wanawaletea mitumba nakuingiza pesa nyingi kuliko ata nguo mpya mnazo uza kwao.
The AGOA CAP allows any single african Nation to export upto 5bn$ to the USA duty free.....but hata kufika 500mn$ imekuwa balaa
 
Back
Top Bottom