Kenya: Wosia wa bilionea Tob Cohen wawekwa hadharani

Na sheria inasemaje kuhusu mke kutopewa mali ya urithi, inawezekana kuishi na mtu kwa miaka zaidi ya kumi na usipate chochote, na mlifunga ndoa?
Itakuwa mzungu alichuma mwenyewe kabla hajamuoa. Inasemekana alimuoa akiwa 60yrs. Sawa na mke aolewe na mwanaume mwenye nyumba nne ambazo mke amekuta tayari mume anazo, jee akiachwa na akanyimwa hata urithi wa nyumba moja itakuwaje?
 
Hapa ndo utajua akili ya Mzungu na Mwafrika zinavyoitafsiri papuchii katika muktadha tofauti.
 
Kuna wanawake wengi wa kitanzania wanashobokea sana mabeberu weupe wakija kutalii huku, nadhani hii inawahusu sana.

Ukweli ni kwamba huyo Mwanamke alionyesha waziwazi kabisa kutokuwa NA mapenzi ya dhati kabisa KWA huyo mwanaume, ndio maana kamnyima kabisa mgawo WA urithi.Hata kama ningekuwa mimi ndio huyo mzungu, kamwe nisingempa kitu chochote kile kama urithi, aondoke tu NA nguo zakebza mwilini KWA sababu ni mwanamke mshenzi
 
Marehemu kajua kunifurahisha safi sana
 
Wamejikita kugawana Mali au ni wausika kwenye mauaji pia, bicoz u never know mpaka investigation bado wanaanza kugawana Mali za watoto something is behind it, her sister she was happy after arrested mungu his wife who committed mada
 
Itakuwa mzungu alichuma mwenyewe kabla hajamuoa. Inasemekana alimuoa akiwa 60yrs. Sawa na mke aolewe na mwanaume mwenye nyumba nne ambazo mke amekuta tayari mume anazo, jee akiachwa na akanyimwa hata urithi wa nyumba moja itakuwaje?
Tukiacha hili la mzungu, inamaana kama mmeo ndiye bread winner anaweza asikuachie chochote? Hata kama mllifunga ndoa?
 
Na itakuwa hata kifo cha huyo jamaa kimetokana na kunyimwa mali muuaji akaona liwalo na liliwe tu.
 
InasemekanavMzee baada ya mke wake mkubwa kutalikiana waligawana 50% 50% ila first 50% ilienda kwa Watoto wale wawili so mzee na wife wakagawana 50% iliyo baki ambapo mzee akavuta 30% na Mkewe 20% out of second 50%. Then baada ya wife kutangulia ile 20 yake ikaenda kwa wanawe wale wawili 20 ya maza + 50 yao inakua 70.
Mkuu unaweza kutusaidia wengi kama utatuelewesha.
Na ndio maana iliandikwa my shares wazee wa shareholders tunaenda sawa apa ndio maana watoto wametulia tuli ilhali wanajua ukweli wa mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…