Kenya WSR 2021 Rally

Kenya WSR 2021 Rally

Another epic Safari moment.....

FB_IMG_16246369351336095.jpg


FB_IMG_16246368041440838.jpg


FB_IMG_16246369392182092.jpg


FB_IMG_16246368100198747.jpg


FB_IMG_16246369484656183.jpg


FB_IMG_16246368139396370.jpg


FB_IMG_16246369553188195.jpg


FB_IMG_16246368176955695.jpg


FB_IMG_16246369605015602.jpg


FB_IMG_16246368228285560.jpg


FB_IMG_16246369656894441.jpg


FB_IMG_16246368273977305.jpg


FB_IMG_16246369067327484.jpg


FB_IMG_16246369107494363.jpg


FB_IMG_16246369278325444.jpg


FB_IMG_16246369313198161.jpg
 
Huwa nashangaa sana. Coz I am sure there must be a Toyota or a mitsubishi that is just as fast as a Subaru. Kwangu mimi huwa naona it is just clout chasing. But because I know so little about Subarus, I am glad if anyone can educate me on this subject.
Mi naeza bet sub haiingii kw crown mzee, sema kitu kinaisaidia iko poa offroad..hta mark x naona imeipita sub kw vitu vingi sana
 
Damn, the action is thrilling for sure! Nice one for the 254🇰🇪. Majirani mpo wapi? Siwaoni hata kwenye uzi huu. Hii ni 'world event' bana ni sawa tu, kwa mfano, na mchuano wa kombe la dunia uwe unaendelea kwa jirani alafu eti mimi nikwamie nyumbani kitandani nikinuna. 😆😆😆
Waganda wamejazana tele Naivasha, hao ndo wanapenda rally kama sisi, sawa sawa na vile pia wao wako na the same passion in Rugby
 
Waganda wamejazana tele Naivasha, hao ndo wanapenda rally kama sisi, sawa sawa na vile pia wao wako na the same passion in Rugby
Kenya na Uganda huwa tunaelewana in terms of cultures kutoka Zamani. Wachana na hawa socialists wa South.
 
Back
Top Bottom