Kenya ya tatu Afrika kwa kuwa tayari kithibiti majanga ya aina yoyote

Unaomba eti tushindwe km nynyi ndio tushtakiwe...kamwe haiwezi tokea jomba...dua la kuku hilo...madeni yanalipwa kw wakati ndo manake hatusamehewi madeni wala assets zetu kukamatwa
Mm siwez kukuombea ushindwe ilhali had sasa unashindwa.
Ww unakopa kwingine ulipe kwingine.
Halafu Mchina hapeleki mtu mahakamani waulize Sri Lanka Mchina yeye unyonyaji tuu.
 
Mimi nilikua naongelea mifano..... yani hamna uwezo wa ku handle janga kubwa la aina yoyote kwa sasa.
 
Mbona Kenya mnashidwa kuithibiti njaa ,wapi mnakwama waisrael wame wasaidia Sana lakini hakijaeleweka .🤔Sasa mtakuwa hub ya njaa
Waisrali wamerudi tena huko galana for round two 😂 Sijui round hii itakuaje




 
Lile bwawa lilivyopasuka mlikabiliana nalo? Je ilikuwa watu wakapoteza maisha?
Hivi ndo halo huwa bwawa likipasuka, sijui unaposema kukabiliana nalo unamaanisha nini? makane likshapasuka bla warnng ni dakika kama 30 kta kitu kitakua kimesombwa na maji.



Hata hivyo DRU (Disaster response Unit) ilifika kapo kuondoa maji kwa mabwawa mengine... Kumbuka ni bwawa moja ndo lilipasuka, kulikua na mabwawa makubwa zaidi hili eneo ambayo pia yangepasuka kama maji hayangeondolewa


 
Magaidi siyo janga? Mbona huwa wanawatwanga mjini kati na wanaondoka?
 
Kwhyo unafikiria kenya wana deni la mchina pekeake...fungua macho kijana..wacha kupiga pumba..
Mm siwez kukuombea ushindwe ilhali had sasa unashindwa.
Ww unakopa kwingine ulipe kwingine.
Halafu Mchina hapeleki mtu mahakamani waulize Sri Lanka Mchina yeye unyonyaji tuu.
 
Magaidi siyo janga? Mbona huwa wanawatwanga mjini kati na wanaondoka?
Ingekua ni huko kwenu, mbali na kushindwa kudhibiti, Uchumi wenu ungekua ulianguka, watalii wangeacha kuja Tz... Lakini huku Kenya Uchumi bado unaendelea kuongezeka, Marekani inaagizia wananchi wake wasije kenya, lakini kwa upande mwengine Kenya iliongeza kampeni hadi watalii wa marekani ndo wengi zaidi hapa kenya kuliko watalii wa nchi yoyote nyingine.... Yani sisi tuko resilient, hata ulete shida gani, bado tunapasua na kusonga mbele....

Unakumbuka wale jamaa walio mwagia Acid yule mtalii kule Zanzibar? Hilo tukio moja tu lilikua karibu kuangusha utalii wa Zanzibar.
 
Kwhyo unafikiria kenya wana deni la mchina pekeake...fungua macho kijana..wacha kupiga pumba..
Umeshaelewa nilichokwambia.
Mtaendelea kuwa colonized eneo lenu mpk mkome.
Unakumbuka nn wachina huwafanyia ktk mama land yenu??
 
Unajisahaulisha wakati hko kwenu mlipigwa kungfu na hao hao wachina
Umeshaelewa nilichokwambia.
Mtaendelea kuwa colonized eneo lenu mpk mkome.
Unakumbuka nn wachina huwafanyia ktk mama land yenu??
 
Anzeni na njaa kwanza, au sio janga ni sehemu ya maisha yenu?.
Yaaaaani huu uzi nimeusoma tu title nikaifikiria Turkana.

Kweli wakenya wana roho watu hata maji ya kunywa hawana wakati Turkana kuna ziwa. Achilia mbali wana ziwa Victoria
 
Kwn wachina wameenda mahakamani kusema hawalipwi...hyo ni yenu...mtashtakiwa sana..
Dawa ya deni kulipa, lipeni kabla hamjashikwa shati. Sisi ndege yetu imerudi tayari japo imewachoma mana za kwenu hasara juu ya hasara tu
 
You are funny, wakati Alshabaab wanawatia vi**le kila uchao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…