joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hahahaha, mbona mumewekwa katika orodha ya nchi hatari zaidi kuishi duniani kutokana na insecurity hasa hasa terror attacks?. Vipi kuhusu hayo mengine?Ukiangalia ripoti wanasema terrorist attack tuko ready kupambana nayo na ni kweli. Tuna experience ya kupasua vichwa vya Shabab na ndio maana hawaji Nairobi sana kama zamani. Nchi chache Afrika zina experience kama ya Kenya ya kupasua vichwa vya terrorists.