Kenya ya tatu Afrika kwa kuwa tayari kithibiti majanga ya aina yoyote

Kenya ya tatu Afrika kwa kuwa tayari kithibiti majanga ya aina yoyote

Ukiangalia ripoti wanasema terrorist attack tuko ready kupambana nayo na ni kweli. Tuna experience ya kupasua vichwa vya Shabab na ndio maana hawaji Nairobi sana kama zamani. Nchi chache Afrika zina experience kama ya Kenya ya kupasua vichwa vya terrorists.
Hahahaha, mbona mumewekwa katika orodha ya nchi hatari zaidi kuishi duniani kutokana na insecurity hasa hasa terror attacks?. Vipi kuhusu hayo mengine?
 
Kitu ambacho hii ripoti inaonyesha ni kwamba kama Tanzania wangekua a shida zile zinazoikumba Kenya, Wangekua hali mbaya zaidi.... Yani bila vita, bila Ukabila, bila kiangazi, jamaa bado wako LDC miaka hii yote!!!!
Hahahaha, hayo yote ni kutokana na juhudi, hekima na busara zetu ndio iliyotufanya tuishi bila vita, bila ukabila, bila kiangazi. Hivi vitu havikushuka toka mbinguni, tuliwekeza pesa, muda na nguvu nyingi kuhakikisha tunavimaliza, wakati sisi tunawekeza pesa ktk kupambana na ukabila, ninyi mlikua mnajenga uchumi, mlifanikiwa kujenga uchumi juu ya msingi wa ukabila, rushwa na vita, kwahiyo tulieni sasa hivi ni muda wetu wa kujenga uchumi, na ninyi pambaneni na ukabila, kiangazi na vita.
 
Mpambane Kwanza na njaaa ndio mkuje hapa, au njaa enyewe sio majanga??
Kwani ni sisi tumeandika hiyo ripoti? Badala ya kulialia kama mtoto, nenda kawaambie waandishi wa hio ripoti kwamba hukubaliani nao.
 
Hahahaha, mbona mumewekwa katika orodha ya nchi hatari zaidi kuishi duniani kutokana na insecurity hasa hasa terror attacks?. Vipi kuhusu hayo mengine?
Hii ripoti inahusu nchi ambazo zina uwezo wa kupambana na majanga. Wamesema Kenya ni ya tatu Afrika, sijui shida yako ni gani? Ni kwamba hukubaliani na waandishi wa ripoti au ni chuki yako kwa Kenya imekuzuia kuikubali ripoti?
 
Wacha kuruka ruka wewe...ukwel ni kwamba mna lease ardhi kutoka kwa ccm...utailipiaje msimu wa kilimo wakati wewe umeikodi kw miaka kadhaa...we si mjinga bana

We ume lease ardhi bana...miaka yako ikiisha ni u renew au upokonywe ardhi...
Unajua maana ta kukodi kweli wewe,
Tungekuwa tunakodi basi ingekuwa kila msimu wa kilimo tunalipia [emoji23][emoji23][emoji23]
Idiot, umeishiwa argument naona.
 
Endelea kuruka ruka hapo gorokocho na story za vijiweni ili mjipe moyo [emoji23][emoji23][emoji23]

Wacha kuruka ruka wewe...ukwel ni kwamba mna lease ardhi kutoka kwa ccm...utailipiaje msimu wa kilimo wakati wewe umeikodi kw miaka kadhaa...we si mjinga bana

We ume lease ardhi bana...miaka yako ikiisha ni u renew au upokonywe ardhi...
 
Heheeee!!nimekubana jomba...ukwel umekodi ardhi...wewe ni squater...hta ukasemaje ukwel unabaki pale pale ..haya ruka ruka sasa nakusubiria[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Endelea kuruka ruka hapo gorokocho na story za vijiweni ili mjipe moyo [emoji23][emoji23][emoji23]

Kwn wachina wameenda mahakamani kusema hawalipwi...hyo ni yenu...mtashtakiwa sana..
Unagoma sasa km hudaiwi na Mchina???
Mchina hawez kwenda mahakamani anajua ataku exploit vp den lirudi we tulia upapaswe na mchina.
 
Ukiangalia ripoti wanasema terrorist attack tuko ready kupambana nayo na ni kweli. Tuna experience ya kupasua vichwa vya Shabab na ndio maana hawaji Nairobi sana kama zamani. Nchi chache Afrika zina experience kama ya Kenya ya kupasua vichwa vya terrorists.

na kuingia na vifaru kwenye Mall 😁 😁
 
na kuingia na vifaru kwenye Mall 😁 😁
Hiyo ni zamani sana dada yangu, tumejifunza mengi. Hiyo ni 2013 lakini tumesonga mbele na kwa kawaida mwafunzi kabla apate mia fil mia kwenye hisabati lazima aanze kwa kuanguka mtihani.
 
Unaomba eti tushindwe km nynyi ndio tushtakiwe...kamwe haiwezi tokea jomba...dua la kuku hilo...madeni yanalipwa kw wakati ndo manake hatusamehewi madeni wala assets zetu kukamatwa
Unagoma sasa km hudaiwi na Mchina???
Mchina hawez kwenda mahakamani anajua ataku exploit vp den lirudi we tulia upapaswe na mchina.
 
Hakuona jamaa walipasuliwa vichwa...mpka leo wanafikiria wataanzaje kuingia nairobi
Hiyo ni zamani sana dada yangu, tumejifunza mengi. Hiyo ni 2013 lakini tumesonga mbele na kwa kawaida mwafunzi kabla apate mia fil mia kwenye hisabati lazima aanze kwa kuanguka mtihani.
 
Mpaka wanadada wamejitolea
FB_IMG_1568264034983.jpeg
 
Back
Top Bottom