Kenya Ya Viwanda

Wewe unaKuanga umejaza ujinga kwa iyo kichwa yako.
Tulia sindano ikuingie vizuri, manifacturing sector ya Kenya na nchi nyingi za Africa ilianza kuathirika baada ya bidhaa nyingi toka China na India kufurika katika soko la Africa, Kenya imeathirika zaidi kutokana na ukweli kwamba, Tanzania na Uganda ambazo zilikua zinanunua kwa wingi bidhaa toka Kenya, zimeanza kuzalisha bidhaa nchini mwao, na mbaya zaidi ni kwamba gharama za uzalishaji katika hizi nchi ipo chini kulinganisha na Kenya, hivyo kampuni nyingi za Kenya zinaonani bure wafunge uzalishaji Kenya na kuhamishia shughuli zao Tanzani na Uganda ili waweze kupunguza gharama za uzalishaji.
 
Haya sasa, mmesha anza kuleta visababu. Uchaguzi wa 2017, hii sio kweli, kwasababu kama ni fujo zilikuwa za kiwango cha chini sana ukilinganisha 2007-8. Kipindi chote cha uchaguzi, mmendela kupata watalii na watu wa maeneo mengi walikuwa wanaendelea na kazi kama kawaida.

Naona unasema na Tanzania wako kundi hilo hilo, lakini Tanzania ametoka 8% ya 2015 mpaka 5.5% 2016 na hiyo ni overral manufacturing growth, sio sector by sector. Tena 8% imeshikilia hapo tokea 2005. Tafuta hizi data utajithibitishia mwenye.

Hata kama unasema ni value additional ndio imepata kipigo, kwani viwanda kazi yake ni nini, si kuongeza thamani ya bidhaa?. From tea leaf to tea bag, fresh milk from cow to pasteurised ready use by human. Umeona sample picha ya kwanza inaonyesha kushuka kwa kiwango kikubwa kupitia sector muhimu kwenye uchumi, ikiwa hata uzalishaji wa magari. Tatizo kubwa ni bidhaa za kutoka nje zinauwa viwanda vya ndani. Mchina ndio wa kumlaumu. Miaka ya mjapan alikuwa analeta bidhaa za bei nafuu, lakini alikuwa haleti mafuriko ya bidhaa za bei ya kutupa kwenye masoko madogo kama haya ya Africa. Trump hakukoseaa kuanza kula sahani moja na mchina, maana wachina wanataka kutawala dunia kwa gharama yoyote ile.
 

Sio vijisababu, ni ukweli uliopo kwamba machafuko ya 2008-2009 yalitukuta kwa kushtukiza, haikuwahi kudhaniwa kwamba Kenya inaweza kuingia kwenye machafuko ya nchi nzima, tulikua tumezoea vurugu za maeneo maeneo. Lakini uchaguzi wa 2017 ulijaa taharuki maana wapinzani walikua wamesema hawatatumia mahakama tena baada ya kilichowatokea 2013 wakati mahakama kuu iliwapiga chini.

Waliapa kwa vyovyote vile lazima waichukue dola, taharuki ilijaa nchi yote, Wakenya wakaficha hela, taarifa zinasema walificha Sh225bn, hela ndefu sana hiyo ukilinganisha na yale madafu yenu Kenyans hid Sh225bn under the mattress in 2017 polls

Pamoja na kuficha hela, wawekezaji wengi wakasitisha shughuli na kusubiri kitakachozaliwa. Watanzania wakafungua mada kila siku za kusubiri kwa hamu. Mungu akatuponya kama nchi na tukakwepa huo mtego.

Kwa Tanzania nimekuwekea link inayoonhesha 2016 ndio mlishuka zaidi ya miaka yote, utawala mpya unaharibu kila kitu ilhali haujakumbwa na machafuko ya aina yoyote, umeanza kuleta vijimaneno vya kukwepa.
Haya nakuwekea na picha kabisa.

 

Unatumia nguvu nyingi kutetea hii hali, sote tulikuwa hapa upinzania kwenye uchaguzi 2017 walitumia mahakama zaidi kuliko kipindi chochote cha chaguzi zilizo pita. Tena hata viongozi wao walikuwa eidha kimya au hawaubiri ugomvi, fujo kidogo zilikuwa Nyanza na wakati Odinga kujiapisha. Sasa sioni imakuwaje bidhaa za export na bidhaa zinazo tumika majumbani ziathirike kama watu bado walikuwa wanafanya kazi na watoto wanakwenda shule.

Hebu pitia hii link PDF kutoka kwa Kenya Association of Manufactures, uone wapi kenya ilikuwa 2010 na wapi ipo 2016 bahati mbaya wajaweka figures za 2017 lakini hali halisi ndio hiyo nimeweka hapo juu. (from page 13).
https://www.google.com/url?sa=t&rct=j&q=&esrc=s&source=web&cd=8&cad=rja&uact=8&ved=2ahUKEwjT0tyj1vjaAhWlA8AKHZYTBN8QFjAHegUIABCBAQ&url=http://kam.co.ke/kam/wp-content/uploads/2018/02/2018-Manufacturing-Priority-Agenda.pdf&usg=AOvVaw0uWmeS0MaijEMa_9sZdNzY

Kwa Tanzania inayojarubu kurudi kwenye glory days za viwanda 5% - 8% manufacturing contribution to GDP sio mbaya, Ethiopia na viwanda vyake hawajavuka 5% manufacturing to GDP contribution japo viwada vyao vimeongeza uzalishaji by 11% tokea 2010.
 
Sawa, Kenya Manufacturing contribution to GDP ni 10%. In dollar value 10% of $70B ni $7B.

Tanzania manufacturing contribution to GDP is 6% (its actually 5.5%). 6% of $55B (tz gdp is actually $50B but lets use 55B ) ....in dollar value, thats $3.3B ...

Tz manufacturing grew by 4%. If Tz manufacturing were to grow at 4% every year and Kenya's was to grow by 0%! It would take Tanzania 19 years and six months!!!! to catch up with Kenya's manufacturing sector.... yani June 2037.... haya Watanzania ekeni reminder kwa simu zenu! June 2037 muamke na mapema mje kurusha midomo! Lakini in the mean time, sijui mnapiga vifua vya nini, mtashikwa na pnemonia bure!
 

Itabidi nipelekane nawe taratibu, maana nijuavyo mpo slow sana kwenye information processing, haya ninayoyasema leo hadi zipite kama wiki mbili, haiwezekani ukayaelewa kwa sasa.
Nimekumbia Kenya ilikua kwenye taharuki hatari zaidi ya zote kwenye mwaka wa 2017, wapinzani walitishia kwamba Jubilee ikifanya figisu kama zile za CCM, basi hawataenda mahakamani, kitaumana. Walikua tayari na walihubiri huo utayari kwa lolote. Sote tulikua hapa, video zilisambazwa kwenye mitandao, wanasiasa kadhaa wakatiwa lock up kwenye kampeni kwa ajili ya matamshi yaliyojaa uchochezi.

Wakenya wengi wakasitisha uwekezaji na wakakaa mkao wa kusubiri, Watanzania wakasubiri kwa hamu kuona damu. Lakini Mungu akatuwezesha tukavuka salama, wapinzani wakabadilisha kauli na wakaamua kwenda mahakamani, kuanzia hapo mengine yakawa historia.
Sasa juzi wapinzani na serikali wamepatana pamoja kiuzalendo na kuanza mazungumzo ya kuboresha nchi, najua inawauma lakini ndio hivyo tena hamna jinsi.

Halafu kwenye uchumi wa nchi yenu, manufacturing GVA imeshuka chini kwenye kipindi cha Magufuli zaidi ya awamu zote, halafu unasema anakaza buti. Nimekupa hadi picha bado umekomaa. Haya nitakuja tena baada ya wiki mbili nategemea utakua umefanya processing ya haya ninayoyasema. Niliona kuna uzi umefunguliwa jinsi IQ zenu ziko chini, hapo inabidi twende na yie kama mlivyo.

Nakuachia mojawapo wa hizo videos
 

Yaani this is a showstopper, tatizo IQ zao niliona ni ndogo, itawachukua muda kukokoyoa ulichoandika hapa.
 
Comparing Kenya V Kenya and because one Kenya wins over the other, Tanzania is better.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
People are so fucked up.
 
Wewe umeshika hii bendera ya uchaguzi naona hautaki kuiachia hata kama imechanika na kupoteza uhalisia wake. Huyu jamaa mluo aliongea vizuri kabisa na kufafanua nini kimeua viwanda vya Kenya. Najuwa ulishamsoma lakini sio mbaya kupata mawili matatu...

Poor strategy dug Kenya into Chinese trade hole
 
Hawa wakenya ni vichaa usipoteze nao muda, sasa matatizo yenu ya uchaguzi unayatumiaje kama kisingizio?, kila mtu ana matatizo yake ya ndani lakini lazima shughuli ziendelee, Ethiopia wana maandamano karibu miaka miwili sasa, hadi waziri mkuu amejiuzulu, na mamia ya watu wameuliwa, lakini manufacturing yao, pamoja na utalii hakuna kilichotetereka.

Kenya kila sector inayumba na mnatoa sababu kwa kila failure yenu, hatutaki sababu za kushindwa, kama ni uchaguzi, kila nchi inafanya uchaguzi, ukabila wenu ni tatizo la kujitakia kwa hiyo msitumie kisingizio cha uchaguzi kuhalalisha kuporomoka kwa uchumi wenu.
1) Hakuna ajira
2)Hakuna maji ya kutosha
3)Hakuna chakula cha kutosha
4)Uchumi unakua kwa kasi ndogo sana
5)Utalii unaporomoka
6)Manufacturing sector inaporomoka
7)Deni la taifa linazidi kiwango kinachokubalika
Yote haya ni dalili kwamba nchi ipo katika hali mbaya kiuchumi, haisaidii kutoa visingizio, la muhimu ni kukaa chini na kujipanga upya. Visingizio havitoleta chakula, wala kuongeza pato la utalii, wala kuongeza uzalishaji wa bidhaa.
 
Safi..Mchango wa mtu aliye na akili tena ufafanuzi mzuri ila mashabiki na vichwa maji hawawezi kuelewa chochote hapa. Funga mjadala yanayo fuata ni mapovu na mastamshi ya LDC this LDC that
 
Utani umezidi kuliko hoja, dalili za kukosa majibu. Anyway, here is where you go wrong. If Kenya can export worth of $7billion while importing $13billion and Tanzania export $5.5billion while importing $7billion. Who's is better place. Leo hii if US has $1trilion trade deficit and Kenya has only trade deficit of $1billion, who will be laughing the other? The difference between Kenya and Tanzania today is, Tanzania can afford to pay her own bills and Kenya is struggling. Kenya has to juggle between loans and defaults to survive. Tanzania industrial has been growing upward for the past 5yrs, Kenya has been flat lining for the past 10yrs. And 0.2% isn't something to take lightly. Instated of us catching up with you in 16yrs time as you put it, let me shorten that time to 7yrs, with massive investment going on right now in iron ore, coal, nickel, gas, agriculture, industrialization. We are aiming for manufacturing to contribute 40% of our GDP by 2025.
 
People are still yapping about Tanzania's capability to pay its bills? Oh LAWD. I thought we debunked this a long time ago. Remember the thread?

Tanzania leads East Africa With External Debt at 38.8% of GDP. Kenya Comes in Second at 29.7%
 
JPM pay his bills, Kenyatta is struggling with one loan negotiation after another. Your In the dump hole at moment.
He's everywhere seeking loans buddy. You have the highest external loan to GDP ratio in East Africa. Get out of that bubble you in if you can't get off the shit you smoke.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
He's everywhere seeking loans buddy. You have the highest external loan to GDP ratio in East Africa. Get out of that bubble you in if you can't get off the shit you smoke.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Tanzania Debts to GDP ratio 32%. Kenya debts 60%, Kenya leads on everything in EA
Hahahahahahahahahahahahahahahahahhahahahahahajahahaha
Kenya ranked as 'failed state'
 
He's everywhere seeking loans buddy. You have the highest external loan to GDP ratio in East Africa. Get out of that bubble you in if you can't get off the shit you smoke.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
People are still yapping about Tanzania's capability to pay its bills? Oh LAWD. I thought we debunked this a long time ago. Remember the thread?

Tanzania leads East Africa With External Debt at 38.8% of GDP. Kenya Comes in Second at 29.7%

Hata uki-sugarcoat vipi, you can't compare $19bln to $25bln n rising. Nyinyi tembezeni bakuli huko nje, sisi huku we're cutting off all exess fat from our economy.
 
Hata uki-sugarcoat vipi, you can't compare $19bln to $25bln n rising. Nyinyi tembezeni bakuli huko nje, sisi huku we're cutting off all exess fat from our economy.
Hivi wewe hujui maana ya debt to GDP ratio? Hahahaha. Remember our GDP is $88 billion while yours is $56 billion.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hivi wewe hujui maana ya debt to GDP ratio? Hahahaha. Remember our GDP is $88 billion while yours is $56 billion.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

I think you need a little lesson about GDP, GDP doesn't payoff debt in one go. If that was the case, Kenya would've been debt free by now. But wait, how could it be if you have that "little man" who runs to the Chinese and berg for more money every time his in trouble. It sounds like Oliver Twist story If you ask me.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…